Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Eeeh anaongea haraka haraka sana halafu Kwa jazba,wakati tunayajenga😁😁
Hii bato ingekua live..
Face to face...
Sipati picha mtu pressure 456mmhg 😂😂😂😂😂
Mtaua watu jamen😂😂😂
 
Mimi ni sauti ya wengi, wengine wanaona tu aibu kusema,wapo humu nawaonaga wanasema hawapendi Pesa,,,,USIAMINI hata mwanadada Mmoja akikwambia hivyo anakufa na tai shingoni😅😅😅
Hahahahaha..sawa sawa msema kweli kipenzi cha Mungu
 
Wee Ni mtu wa maaana kbsa
IMG_20240325_154742.jpg
 
Dah hii ingekuwa live huyo jamaa angenichapa makofi aseee😅
Ajabu hata kupiga sijui/kukalipa sijui pia
Yaan ulivyonielewa na nilivyo ni tofaaaautii😂😂
By the way nielewe tu
 
Ajabu hata kupiga sijui/kukalipa sijui pia
Yaan ulivyonielewa na nilivyo ni tofaaaautii😂😂
By the way nielewe tu
We kukuripia hujui wapi wewe,check hapo ulivyonifokea,live ningejuta 😅😅
 
Back
Top Bottom