Nakubali nakubali......Hahaha π π π π€πΏπ€πΏ
Ahahahah kwani kuna shido...?Yeye alikwambia ana shida na bwana?
Hata sasa hivi navyoposti napiga puff za kutosha. Believe me I have the serious guts to make the world a better place.
Mi wadada kama hivi ndo ugonjwa wangu..
Kama kuna siku nimeingia tanzania kutokea dubai nilikuwa na matairi ya gari ndogo 4 na tv kubwa,
wakati nashuka kwenye ndege nilikutana na mdada aisee alikua very fast hadi nikashangaa.
Nilitokea kumkubali tuu huwa napenda sana wadada kama hawa hana mda wa kupoteza
Hayo maneno yako yanataka kufanya niamini tofauti kuhusu wewe..Eeh tuna haraka mnoo
Kumbe mpaka watu wa Dubai mnatupenda πππ ukishuka tena na tairi zingine itabidi unikimbize
Joanah pitia na comment yangu hapo...Maelezo yametaja gari yako mara nyingi kuliko mwendo
2025 hemp ihalalishwe Tz.Hata sasa hivi navyoposti napiga puff za kutosha. Believe me I have the serious guts to make the world a better place.
Legalise it maamaee
Afate mke wa mtu apigwe kama mwizi hadharani. πππππNanyie punguzeni aibu, ungemfata tu hivyo hivyo mbele za watu, kwani ungekufa? π ebu nianze kutembea taratibu aiseeπββοΈ
Kaazi kwelikweli...Wanawake ifike mahali tembeeni pole pole sometime spidi zenu zinawakosesha Wanaume wa kuwaowa kama huyu mwenzenu
Mwezi uliopita naelekea nyumbani nikapitia njia ya Ferry ile nangia kwenye kivuko nikapaki Gari nikashuka, ile kushuka tu nikamuona binti mmoja ambae alinivutia sana na yeye akawa ananiangalia sna ila kutokana na adabu kwenda kumuongelesha mbele za watu nikaona aibu nikasema ngoja mda wakushuka nitajaribu kumfuatilia japo nlikuwa na Gari nikasema sawa cz ilikuwa mbele ila bado tukawa tunatazamana tu
Ile kushuka tu nikaona watu wa mbele ya kivuko wanakimbia sijui wanakimbilia wapi , na yeye akaunga spidi ikabidi nimfuatilie na gari nikakwama, nimeshuka najaribu kumkimbilia ile spidi nilikwama maana Gari niliiacha huku juu ningeibiwa or ingekamatwa ila yule Binti kakosa Bonge la bwana ila kila la heri kwake huenda mda huu tungekuwa tunapeleka barua kwao kama Tabia zake zingenifurahisha ila wanawake wapo wengi no way
Punguzeni mwendo shauri yenu
ππ sasa huoni hivyo alivyokua anammendea na gari huko kivukoni ndiyo hatari zaidi, angemfata tu akipigwa inaitwa ajali kaziniπAfate mke wa mtu apigwe kama mwizi hadharani. πππππ
Sio ajali kazini ni uzembe huo, kwanza unaombaje namba kwa pisi kiholela hivyo. ππππππ sasa huoni hivyo alivyokua anammendea na gari huko kivukoni ndiyo hatari zaidi, angemfata tu akipigwa inaitwa ajali kaziniπ
Kama unawahi namba primary πHao ni mimi
Nikitoka kanisani nakimbia kama nmeacha familia
Saa zote natembea haraka kama nawahi mahali
Angejiamini angekuwa anafurahia sasa hivi.Sasa mkuu ulitaka mtu akusubiri na hakufahamu...
Woga wako ndio uliokukosesha mchuchu kwa kushindwa kumwaga sera mkiwa ndani ya pantoni...
Sio ajali kazini ni uzembe huo, kwanza unaombaje namba kwa pisi kiholela hivyo. ππππ
popote kambi huwezi jua wapi mkeka utatick, omba namba popote penye upenyoπpopote kambi huwezi jua wapi mkeka utatick, omba namba popote penye upenyoπ
Itakuwa chang'ombe dodomaningekuja pm mkuu,,sema napoishi gari haziingii kabisa.