Wanawake punguzeni vikao wakati wa tendo

Naelewa huwezi kufanya mapenzi kimya kimya kama unabaka

Naelewa ule ni wakati mwingine wa kueleza hisia zake kwa mtu unayempenda. Ni muhimu ku respond juu ya mchakato unaloendelea pale kati.

Mimi nazungumzia wale wanaoanzisha kikao, anakuja na ajenda irrelevant. Sasa jiulize nani anachukua muhtasari.

Umemkalia mwanaume kwa juu kisha anamuulliza atakuoa lini, una mkopo anakusaidiaje kulipa, kwa nini juzi hakujibu sms ya pesa ya salon na vocha. Kwamba kuna kiwanja amepata amepelea milioni. Hivi hapo kuna majibu ya maana utapewa kweli zaidi ya mauongo tu.

Aaaggghhhh inakata stimu. Kama mwanamke huna content wakati wa show ni bora ukanyamaza tuache sauti za utelezi zisikike. Tafuta platform nyingine za kuwekana kikao.
Mwasibu unakula watoto au sio?? Najuaga hizo ni tabia za watoto wanaamini eti muda huo hauchomoi chochote hata akiomba bilion utampa tu kadi....kumbe account yako inasoma insufficient amount.

Uko wapi kwanza......
 
Naelewa huwezi kufanya mapenzi kimya kimya kama unabaka

Naelewa ule ni wakati mwingine wa kueleza hisia zake kwa mtu unayempenda. Ni muhimu ku respond juu ya mchakato unaloendelea pale kati.

Mimi nazungumzia wale wanaoanzisha kikao, anakuja na ajenda irrelevant. Sasa jiulize nani anachukua muhtasari.

Umemkalia mwanaume kwa juu kisha anamuulliza atakuoa lini, una mkopo anakusaidiaje kulipa, kwa nini juzi hakujibu sms ya pesa ya salon na vocha. Kwamba kuna kiwanja amepata amepelea milioni. Hivi hapo kuna majibu ya maana utapewa kweli zaidi ya mauongo tu.

Aaaggghhhh inakata stimu. Kama mwanamke huna content wakati wa show ni bora ukanyamaza tuache sauti za utelezi zisikike. Tafuta platform nyingine za kuwekana kikao.
Wajanja haooo, wanakuomba wakati huo wakijua lazima utasema yes ili baadae ukishindwa tekeleza basi apate kukusema.
Mie mmoja alinifanyia hivyo ikabidi nimkubalie mtaji wa biashara ya chupi za warembo, laki tatu yangu mpaka leo sijaona faida yake
 
Naelewa huwezi kufanya mapenzi kimya kimya kama unabaka

Naelewa ule ni wakati mwingine wa kueleza hisia zake kwa mtu unayempenda. Ni muhimu ku respond juu ya mchakato unaloendelea pale kati.

Mimi nazungumzia wale wanaoanzisha kikao, anakuja na ajenda irrelevant. Sasa jiulize nani anachukua muhtasari.

Umemkalia mwanaume kwa juu kisha anamuulliza atakuoa lini, una mkopo anakusaidiaje kulipa, kwa nini juzi hakujibu sms ya pesa ya salon na vocha. Kwamba kuna kiwanja amepata amepelea milioni. Hivi hapo kuna majibu ya maana utapewa kweli zaidi ya mauongo tu.

Aaaggghhhh inakata stimu. Kama mwanamke huna content wakati wa show ni bora ukanyamaza tuache sauti za utelezi zisikike. Tafuta platform nyingine za kuwekana kikao.
Kuna demu wangu nilimrusha pembeni kwa habari za onh'ooo utanioa lini konyo konyo... staki ujinga
 
Back
Top Bottom