Wanawake punguzeni vikao wakati wa tendo

Wanawake punguzeni vikao wakati wa tendo

Ukiona anaongea mada nyingine, ujue UKUNI haujamkolea, chochea moto.

Na hayo ndio madhara ya kukaliwa juu, siku nyingine usikubali, akikaa juu inakuwa kama yaya ndio ANAKUFANYA wewe.. Muweke ila inaitwa PARAMAGAMBA kabudi., uone kama ataleta madeni ya vikoba. [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naelewa huwezi kufanya mapenzi kimya kimya kama unabaka

Naelewa ule ni wakati mwingine wa kueleza hisia zake kwa mtu unayempenda. Ni muhimu ku respond juu ya mchakato unaloendelea pale kati.

Mimi nazungumzia wale wanaoanzisha kikao, anakuja na ajenda irrelevant. Sasa jiulize nani anachukua muhtasari.

Umemkalia mwanaume kwa juu kisha anamuulliza atakuoa lini, una mkopo anakusaidiaje kulipa, kwa nini juzi hakujibu sms ya pesa ya salon na vocha. Kwamba kuna kiwanja amepata amepelea milioni. Hivi hapo kuna majibu ya maana utapewa kweli zaidi ya mauongo tu.

Aaaggghhhh inakata stimu. Kama mwanamke huna content wakati wa show ni bora ukanyamaza tuache sauti za utelezi zisikike. Tafuta platform nyingine za kuwekana kikao.
😅Sasa hapo si unakumbushiwa Jamani
 
Anakutoa mchezoni then poof mista hasimami

Kisha baadaye wanaanza kusema hauna nguvu za kiume
Na jamaa alivyo sensitive hata akisema kwa ukali tu "SITAKI" jamaa hataki tena anasusa!!

Labda kama umezoea kubaka!
 
Back
Top Bottom