Wanawake Rombo waogopa kutembea peke yao bila waume zao wakihofia Nyani, ambao 'huwakonyeza'

Wanawake Rombo waogopa kutembea peke yao bila waume zao wakihofia Nyani, ambao 'huwakonyeza'

Inachekesha lakini habari ndio hiyo. Nyani wa huko wana tabia za ajabu sana, ukiacha poro lako la ugali, wali au ndizi shambani utaambulia sufuria jeupe pee halina poro. Cha ajabu zaidi wanaingia madarasani na kuishia kuchanachana vitabu na madaftari ya wanafunzi waliyoyaacha humo. Unakuta shule ina milango na madirisha mabovu huko ndio wanakoingilia na kutokea siku ambazo wanafunzi hawapo shuleni
 
Niliwahi shuhudia Foursome ya kibabe ikipigwa mchana kwepeee

Nyani popote mlipo Mungu anawaona asee
 
Baadhi ya wanawake katika vijiji vitatu vya Samanga, Kirongo juu na Sangasa, wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wameeleza tishio la nyani wilayani humo linavyowaogopesha kutembea peke yao bila waume zao wakihofia kudhuriwa na nyani hao.

Wamesema nyani hao ambao hutembea makundi kwa makundi nyakati za asubuhi na jioni, wamekuwa ni tishio kwao na kwamba wanapovamia maeneo yao na kuwafukuza huwakonyeza na wakati mwingine huwazunguka na kuwaweka kati hali ambayo ni hatari kwa usalama wao.


Pamoja na hofu hiyo, wamesema kwa zaidi ya miaka saba wameshindwa kuendeleza shughuli za kilimo kutokana na uharibifu unaofanywa na nyani hao ambao wamekuwa wakila mazao yao mashambani.

Wakizungumza na Mwananchi Digital kwa nyakati tofauti, wananchi hao wameiomba Serikali kuangalia namna ya kuwaondoa nyani hao na kwamba kwa mara kadhaa wamekuwa wakiahidiwa na serikali kuwaondoa nyani hao jambo ambalo halijazaa matunda.

Mmoja wa wanachi wa Kijiji cha Samanga, Prediganda Shayo amesema nyani hao wamekuwa kero kubwa na kwamba wanapoingia kwenye makazi yao na kuwafukuza hawaondoki na badala yake nyani hao huwaita kwa kuwakonyeza.

Pia, Soma: Rombo wanaume walalamika madume ya nyani kushika shika wake zao
Huko Rombo si ndiko wanawake zao waliosema wanaume wao hawawezi kazi? Ngoja manyani wawasaidie 😄😄
 
Three Monkeys with one very black woman [amini ninaposema black woman kwasababu alikuwa mweusi tiii]

Kuliko kuwaharibia starehe nikapita zangu kama siwaoni vile alafu manzi yenyewe inafurahia kabisa
sasa hapo si ni kugegedwa na wanyama? Huyo manzi alikubali kupelekewa moto na nyani aliwapa kwa staili gani?
 
Wale nyani jeuri kweli, hata mwanaume wanaweza kukudindia kama huna fimbo ya kuwanyooshea wakimbie mbali
 
kuna kipindi walilalamika hao wanaume zao kuwa madume ya nyani yanashika shika wake zao haki naona aibu, nyani ananikonyeza hahahhaha dah hii kali nimeamini kila kiumbe kina kichaa chake
.......dunia inabadilika sana hawa nyani wameanza kujifunza tabia za hovyo, imagine unapita hilo eneo na mkeo then waanze kumkonyeza, sio kitu kizuri kabisa, mamlaka zilitazame hili.......
 
Hii tabia ipo kwa wanyama wengi sana hasa wanyama madume kutongoza au kukonyeza wanawake mfano beberu wanayo hii tabia sana.
 
Back
Top Bottom