Wanawake Rombo waogopa kutembea peke yao bila waume zao wakihofia Nyani, ambao 'huwakonyeza'

Baadhi ya wanawake katika vijiji vitatu vya Samanga, Kirongo juu na Sangasa, wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wameeleza tishio la nyani wilayani humo linavyowaogopesha kutembea peke yao bila waume zao wakihofia kudhuriwa na nyani hao.

Wamesema nyani hao ambao hutembea makundi kwa makundi nyakati za asubuhi na jioni, wamekuwa ni tishio kwao na kwamba wanapovamia maeneo yao na kuwafukuza huwakonyeza na wakati mwingine huwazunguka na kuwaweka kati hali ambayo ni hatari kwa usalama wao.
Pamoja na hofu hiyo, wamesema kwa zaidi ya miaka saba wameshindwa kuendeleza shughuli za kilimo kutokana na uharibifu unaofanywa na nyani hao ambao wamekuwa wakila mazao yao mashambani.

Wakizungumza na Mwananchi Digital kwa nyakati tofauti, wananchi hao wameiomba Serikali kuangalia namna ya kuwaondoa nyani hao na kwamba kwa mara kadhaa wamekuwa wakiahidiwa na serikali kuwaondoa nyani hao jambo ambalo halijazaa matunda.

Mmoja wa wanachi wa Kijiji cha Samanga, Prediganda Shayo amesema nyani hao wamekuwa kero kubwa na kwamba wanapoingia kwenye makazi yao na kuwafukuza hawaondoki na badala yake nyani hao huwaita kwa kuwakonyeza.

Pia, Soma: Rombo wanaume walalamika madume ya nyani kushika shika wake zao
How can it possible??
 
Kwani walipoamua kuwanyima waume zao si walikuwa wanahitaji mmbadala, sasa wameupata wanaanza kulalamika kisa, nyanyi anamapenzi ya kidhungu wao wanataka ya kichaga ya kuparamiana.
 
Mwanamke mmoja huko wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro ameeleza kero wanayopata watu hasa wanawake wawapo mashambani au majumbani.

Akihojiwa na Redio Banana FM inayorusha matangazo yake kutokea Rombo, mwanamke huyo alidai kuwa nyani wameongezeka sana siku hizi kijijini kwao na kusababisha kero kubwa majumbani na mashambani.

Mwanamke huyo aliendelea kueleza kuwa nyani hao huogopa wanaume lakini wakimwona mwanamke huwa na kiburi na kama wapo wengi basi huweza kumzunguka mwanamke na kuanza kumkonyeza kwa macho yao.

Mama huyo ameiomba serikali kuchukua hatua kuwaondoa nyani hao kwani wameleta njaa na umaskini kijijini hapo.

Angalizo: Nyani hao wasiachwe wachukue nafasi za wanaume wa Rombo.
 
Wakuu hivi Nyani ana madhara yoyote kwa wanawake?
===

Baadhi ya wanawake katika vijiji vitatu vya Samanga, Kirongo juu na Sangasa, wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wameeleza tishio la nyani wilayani humo linavyowaogopesha kutembea peke yao bila waume zao wakihofia kudhuriwa na nyani hao.

Wamesema nyani hao ambao hutembea makundi kwa makundi nyakati za asubuhi na jioni, wamekuwa ni tishio kwao na kwamba wanapovamia maeneo yao na kuwafukuza huwakonyeza na wakati mwingine huwazunguka na kuwaweka kati hali ambayo ni hatari kwa usalama wao.

Pamoja na hofu hiyo, wamesema kwa zaidi ya miaka saba wameshindwa kuendeleza shughuli za kilimo kutokana na uharibifu unaofanywa na nyani hao ambao wamekuwa wakila mazao yao mashambani.

Wakizungumza na Mwananchi Digital kwa nyakati tofauti jana Desemba 5, 2024, wananchi hao wameiomba Serikali kuangalia namna ya kuwaondoa nyani hao na kwamba kwa mara kadhaa wamekuwa wakiahidiwa na serikali kuwaondoa nyani hao jambo ambalo halijazaa matunda.

Mmoja wa wanachi wa Kijiji cha Samanga, Prediganda Shayo amesema nyani hao wamekuwa kero kubwa na kwamba wanapoingia kwenye makazi yao na kuwafukuza hawaondoki na badala yake nyani hao huwaita kwa kuwakonyeza.
Screenshot 2024-12-06 160334.png
 
Back
Top Bottom