muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Nyani anaweza kubaka mwanamke?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana .Nyani anaweza kubaka mwanamke?.
🤣🤣🤣🤣 Atuambie konyezo la nyani lipoje
🥲Kua na amani bwashe foleni zitapungua mjini, ngoja tukaupdate software kichwani
Haya sasa naona fundi kamaliza kutengeneza simu yako
Hahahaha 😂 mpuuz weyeHaya sasa naona fundi kamaliza kutengeneza simu yako
Ulikua wapi? Au ulikuep kwa jina lingine la ubatizoHahahaha 😂 mpuuz weye
How can it possible??Baadhi ya wanawake katika vijiji vitatu vya Samanga, Kirongo juu na Sangasa, wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wameeleza tishio la nyani wilayani humo linavyowaogopesha kutembea peke yao bila waume zao wakihofia kudhuriwa na nyani hao.
Wamesema nyani hao ambao hutembea makundi kwa makundi nyakati za asubuhi na jioni, wamekuwa ni tishio kwao na kwamba wanapovamia maeneo yao na kuwafukuza huwakonyeza na wakati mwingine huwazunguka na kuwaweka kati hali ambayo ni hatari kwa usalama wao.
Pamoja na hofu hiyo, wamesema kwa zaidi ya miaka saba wameshindwa kuendeleza shughuli za kilimo kutokana na uharibifu unaofanywa na nyani hao ambao wamekuwa wakila mazao yao mashambani.
Wakizungumza na Mwananchi Digital kwa nyakati tofauti, wananchi hao wameiomba Serikali kuangalia namna ya kuwaondoa nyani hao na kwamba kwa mara kadhaa wamekuwa wakiahidiwa na serikali kuwaondoa nyani hao jambo ambalo halijazaa matunda.
Mmoja wa wanachi wa Kijiji cha Samanga, Prediganda Shayo amesema nyani hao wamekuwa kero kubwa na kwamba wanapoingia kwenye makazi yao na kuwafukuza hawaondoki na badala yake nyani hao huwaita kwa kuwakonyeza.
Pia, Soma: Rombo wanaume walalamika madume ya nyani kushika shika wake zao
Ksbisaaaa umeneenaaHao Nyani wangekuwa na Hela tusingesikia yote haya
sina jna la ubatizo,,nilikua nje huko kuokoteza hela ya bandoUlikua wapi? Au ulikuep kwa jina lingine la ubatizo
Kati ya manyama matukutu, makorofi yasio na maadili ya kingono ,yenye kiburi, mijizi ni Nyani wanaongoza
Kwani walipoamua kuwanyima waume zao si walikuwa wanahitaji mmbadala, sasa wameupata wanaanza kulalamika kisa, nyanyi anamapenzi ya kidhungu wao wanataka ya kichaga ya kuparamiana.Baadhi ya wanawake katika vijiji vitatu vya Samanga, Kirongo juu na Sangasa, wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wameeleza tishio la nyani wilayani humo linavyowaogopesha kutembea peke yao bila waume zao wakihofia kudhuriwa na nyani hao.
Wamesema nyani hao ambao hutembea makundi kwa makundi nyakati za asubuhi na jioni, wamekuwa ni tishio kwao na kwamba wanapovamia maeneo yao na kuwafukuza huwakonyeza na wakati mwingine huwazunguka na kuwaweka kati hali ambayo ni hatari kwa usalama wao.
Pamoja na hofu hiyo, wamesema kwa zaidi ya miaka saba wameshindwa kuendeleza shughuli za kilimo kutokana na uharibifu unaofanywa na nyani hao ambao wamekuwa wakila mazao yao mashambani.
Wakizungumza na Mwananchi Digital kwa nyakati tofauti, wananchi hao wameiomba Serikali kuangalia namna ya kuwaondoa nyani hao na kwamba kwa mara kadhaa wamekuwa wakiahidiwa na serikali kuwaondoa nyani hao jambo ambalo halijazaa matunda.
Mmoja wa wanachi wa Kijiji cha Samanga, Prediganda Shayo amesema nyani hao wamekuwa kero kubwa na kwamba wanapoingia kwenye makazi yao na kuwafukuza hawaondoki na badala yake nyani hao huwaita kwa kuwakonyeza.
Pia, Soma: Rombo wanaume walalamika madume ya nyani kushika shika wake zao
Nyani noma sana!!!,,,nilishashuhudia nyani akipiga PUNYETO pale mto wami!!!Watakua wa NYANI NGABU