Wanawake sasa wanavaa vitaiti vya kuvaa ndani ya nguo

Na usije fikiria eti Ndio mapigo wanayoyapenda no, lengo lao ni kuonyesha shape walinazo yaani makalio, hips na mapaja Yao yalivyojaa, halaf mbaya zaidi wengine hawavaag nguo ya ndani basi mpaka ule mzinga wa asali inaonekana, wanaplan zao mkuu sio bure bure
 
Waacheni chaputa wapate hisia za kujichukulia sheria mkononi
 
Hivi mleta mada hii tatizo ni nini hapa? Nimejaribu kukufahamu lakini nimeshindwa kabisa!!!!!!
 
Hapo chini unavaa zile sandal ambazo zina soli nene
Unavaa saa kubwa , una pank lina bronze bleach miwani transparent , chain kubwa imekaba koo... shati la pepekale
Aaah Mwaisaaa UNYAMAAAA 😂😂😂
Uwongo dhambi nshawahi kuvaa ila usiku kitambaa cheupe
Nb; hio nguo haifai kuvaa huna usafiri& mchana
Hapo ndo wanapoharibu
 
Tena zile tyt alafu mwanamke awe n thick thighs and onion booty mbona utafurahi. Bonge la vibration🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…