Wanawake sasa wanavaa vitaiti vya kuvaa ndani ya nguo

Wanawake sasa wanavaa vitaiti vya kuvaa ndani ya nguo

IMG_8099.jpg

Hi ni njema njema sana
Inavutia iko fresh na heshima juu
IMG_8100.jpg

Hi iko njema pia na heshima pia
IMG_8101.jpg

Sasa jamani hivi nitembee na wew upo hivi jamani[emoji23][emoji23]
 
Wavuvi wa nchi kavu hao hawajali mvua wala jua fashion inasingiziwa.
 
Back
Top Bottom