Wanawake shida yenu nini mpaka mkiona mtu ana gari mnababaika?

Kwa hii story hapa wewe ndo mshamba.
 
Kwa hii story hapa wewe ndo mshamba.
Uzuri najijua mimi ni mshamba sana. Huwa sifichagi. Na kila mtu anao ushamba wake piga ua..(Ukiwa mjanja wa kila kitu utaingia kwenye tundu moja bovu sana na hapo ndipo wewe utakapoonekana mshamba kuliko wale ambao wewe uliwaona ni washamba)
 
Tatizo siyo wanawake, tatizo ni watu wasiotumia akili zao vizuri. Maana mie hapo naona wote mlikua mnashida, anayetumia gari kama gia ya kuwapata wanawake na hao wanawake walioingia chaka...wote mna shida kwa kweli. Hakuna mjanja hapo, ujanja sio kujifanya tajiri ama siyo kutaka kula pesa za aliyenazo.
 
Kumbe ilikuwa ni mechi ya washamba? Ila yote kwa yote nilienjoy sana na dodoma tunaenda.
 
Nimecheka sana.
Thank you for sharing.
 
Kibongobongo gari ni mfereji mzuri na mwepesi kukupatia HIV
Hii hapa

 
Umepewa utam na wadudu bureee usishangilie [emoji2][emoji2]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Hapa jamaa ulituliza akili kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…