Wanawake shida yenu nini mpaka mkiona mtu ana gari mnababaika?

Mnawasingizia wanawake wakat wanaume sikuhiz mnajirahisisha kwa wanaume wenye magari... Halafu ukiona mwanaume anatumia gari kama nyenzo ya kupata madem basi ujue ni mshamba na shoga
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ila jf
 
Kiukweli walikuona bwege. Mwanaume anayemiliki ndinga anajulikana tuu khata hana makuu wewe walijua umeokota ela bahati mbaya ndio umechenguliwa nayo
Huu ukweli nimeupenda
Mwanaume anaemiliki ndinga Hana Makuu,utaona tu....
Ss ukutane na wapenda show off [emoji119]
mwanaume mzima ktk story ooh gari yangu,sijui gari imefanyaje at the same time anatumia daladala ,Bajaj[emoji1787][emoji2960]
Huoni hata hiyo gari Kila unamuona
 
Wewe nawe embu danganya watu wasio kujua, yule muarabu coco si alikupumulia akakurekodi video zikasambaa mtaan ukakimbia mji... Na sasa hivi anamla dada yako, familia yenu imelaaniwa sijui... Kesho asubuh nakuletea gari ukauzie sura kwa ma gay wenzako mshamba wew
 
[emoji38][emoji38][emoji38] nimecheka
 
Mbaya zaidi hata uwe na gari full branded (CELTEL CELTEL..etc) bado wamo tu..!! Wengine ajabu na kweli ni kuwa hata awe na V8, bado unaweza ngóa kwa kivitz..!! Sielewagi

Afu mwanafyale, uache kwendaga viwanja vya wazi kama highway..!! Ahahahahaa
 
Kweli gari ni kitu muhimu kwa wadada na hadi leo sijui nini tunaonaga huko ila shida kwa watu naakili zao .
Unagari ila kama hutoi hela basi aisee na tamuu ni ngumu kupewa .
 
Mmh una umri gani Samahani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…