Wanawake shida yenu nini mpaka mkiona mtu ana gari mnababaika?

Mwee hiyo aya ya pili hadi nimecheka [emoji23] naweza kuliwa na mwanaume yoyote ili mradi niwe nimempenda upo? Nivue pichu kisa mwanaume ana gar sijui baada ya hapo ni faida gani napata? Rekebisha hapo.
 
Mleta mada vs wadada /wanawake mpambano unaendelea mpaka sasa naona 2 - 2 [emoji91][emoji91][emoji91][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Utakuwa una kibamia wewe...maana ndo washamba wa k[emoji1787][emoji1787]
Inawezekana kweli nina kibamia maana kidudu changu ni kifupi kama zile betri kubwa za panasonic (Kwa umri wako sidhani kama unazijua), cheusiiiii lakini ni kinene kama sim tank la lita 5,000.. Sijui ndiyo hicho kibamia!!? Maana nyie ndiyo mnaovijua.
 
Na ubunifu huo lakini bado unaishi kwa shemeji yako unagombania remote na kina junia[emoji2957]
Hakuna raha kama kukaa kwa shemeji ila ili raha iwe kali zaidi ni lazima shemeji naye amlete mdogo wake wa kike pale kama ilivyo kwa huyu shemeji yangu.

Yeye kamuoa sista, alafu pale pale kaleta kadogo kake ka kike eti kanasubiri kwenda kusomea hotel coz ya hotel management.

Sasa huwa nakaambia usiku njoo chumbani nikufundishe namna ya kutembea unapumuhudumia mteja... Kakija nakabandua mpaka saizi kana mimba na kaka yake hajui.... (Ngoma ndroo yeye anakula sista na mimi nakanyandua kadogo kake)
 
Gari ni kipimo cha ukwasi. Mafuta, service, purukushani za barabarani ie trafics n.k
Ukiwa nalo lazima hela huwa zinakupitia pitia. Wanawake wanapenda pesa. Hao malay uliokuwa nao walitagert pesa yako. Kipimo walichotumia ni gari, bia na kitimoto.
 
Labda mie ndo mwanamke pekee ambae sishobokei magari...Niko tifauti kabisa na wale wengine huwa nawashangaa
Sijakulia mazingira ya kitajiri wala kuwa na gari ila sipapariki japo nna ndoto ya kuja kumiliki langu
Safi sana tunapenda wanawake kama nyinyi.. Usibabaike na magari siyo mazuri sawa?
Ukizingatia hayo utaishi kwa matumaini... By the way unayo nafasi hebu jiamini.
 
Ulikutana na vidada visivyojielewa na vilikua kwenye biashara....mwanamke anaejielewa hawez kujigonga kwa mwanaume eti kisa gari sijui kitimoto never.
Unaviita vidada sababu hukuwepo na pengine ni mmoja wao kati ya niliyowabandua siku hiyo ila sababu tu uko nyuma ya keyboard basi unao uwanja mpana sana wa kubisha. Hauna kucha ndefu kweli wewe!!!!!???????
 
Unaviita vidada sababu hukuwepo na pengine ni mmoja wao kati ya niliyowabandua siku hiyo ila sababu tu uko nyuma ya keyboard basi unao uwanja mpana sana wa kubisha. Hauna kucha ndefu kweli wewe!!!!!???????
Wee nawe sijui unasoma ukaelewa naona unajibu vitu hata havieleweki. Sasa kucha zinahusiana nini na nilichoandika?
 
Ushamba na ulimbuken nothing special kwa MTU anayetambua issue za mtu kuwa na gari ni kawaida sana
Inategemea mimi napenda mwenye gari za kisasa sio hizi za zamani kama harrier , prado, sijui ist za wanachama kuna magari bhana mtu akitinga hapa unasema waah!sasa unadata na mtu mwenye prado tena nyeupe mwenyewe unamwona hana hata afya si bora ubaki tu na mushi mwenye ist tu mlee watoto kushinda kudanga danga na vioja hii ndio maono yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…