Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Mwee hiyo aya ya pili hadi nimecheka [emoji23] naweza kuliwa na mwanaume yoyote ili mradi niwe nimempenda upo? Nivue pichu kisa mwanaume ana gar sijui baada ya hapo ni faida gani napata? Rekebisha hapo.Ni kweli gari haukuwa yangu na sijaficha hilo. Kama wenzio walikubali kuvua nguo wote watatu wakiwa chumba kimoja basi wewe ndiyo utaliwa hadi juu ya pikipiki.
Tena nyie mnaobisha bisha kwa nguvu ndiyo wale waleeee wa kucha ndefu, kuchambia tishu, lipstick mpaka mashavuni, kuchonga nyusi mpaka zinaisha zote(Aisee mtafika mmechoka sana kunako uzima)