Wanawake shida yenu nini mpaka mkiona mtu ana gari mnababaika?

Kwa kauli yako inamaana mtu akija hapa na bugatti anakupakua vizuri tu sio!!!?
 
Ushamba na ulimbuken nothing special kwa MTU anayetambua issue za mtu kuwa na gari ni kawaida sana
Wewe kwako gari ni kitu cha kawaida ila kuna wenzio wakisikia tu mlio wa gari wanasogeza chupi pembeni ukiwauliza nini!!!... Wanasema huku chini kunawasha kumbe anataka exhaust iingie kunako pango...
 
Mi ndio na bahati mbaya kila nikienda bar nikataka kung'oa mali mara nyingi zinaniambia twende tukaongelee kwenye gari yako .Nabaki kusema tu kimoyo moyo hiiii hiiii.Naishia kuzuga zuga parking mpaka mali zinapepea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa sauti khee!!
 
Gari Ni alama ya kipato na uwajibikaji,

Mwanaume mwenye uwezo wa kuhudumia gari, anao uwezo wa kumhudumia mwanamke.

Nb:
ASILIMIA kubwa ya magari yetu yanatumia gharama kubwa kwa siku kuliko wake zetu majumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…