Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 719
- 2,408
- Thread starter
- #141
Kwa kauli yako inamaana mtu akija hapa na bugatti anakupakua vizuri tu sio!!!?Inategemea mimi napenda mwenye gari za kisasa sio hizi za zamani kama harrier , prado, sijui ist za wanachama kuna magari bhana mtu akitinga hapa unasema waah!sasa unadata na mtu mwenye prado tena nyeupe mwenyewe unamwona hana hata afya si bora ubaki tu na mushi mwenye ist tu mlee watoto kushinda kudanga danga na vioja hii ndio maono yangu.