Wanawake si wabinafsi kama wanaume mnavyotuchukulia, huwa tunawaza msiyo ya waza

Wanawake si wabinafsi kama wanaume mnavyotuchukulia, huwa tunawaza msiyo ya waza

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Wanawake tumetoka sayari ya Zuhura (Venus), hata mawazo yetu yako ki Zuhura tofauti inaanzia hapo. Mwanaume anawaza mambo makubwa lakini anasahau kuwa haya madogo yakikosekana tofauti itaonekana

Mwanaume atanunua kiwanja, atajenga nyumba lakini hafahamu kuwa deco ndani ya nyumba ni muhimu na inafanya nyumba kuwa nyumbani. Wanawake wengi deco na upambaji viko kwenye damu zetu. Huwezi kukaa kwenye nyumba ambayo haijapambwa

Mwanaume atalipa Ada ya mtoto milioni tano, atampa mtoto nauli ya kwenda shule na elfu ishirini ya kujikimu. Mama anafahamu kuwa kijana wake amefikia umri wa balehe na anajua Kuna style ya mavazi anayoipenda ili aendane na vijana wenzake. Mama atatoa laki mbili pasi Baba kufahamu kijana anakwenda chimbo kutafuta viwalo

ili tuweze kuishi pamoja katika sayari dunia inabidi tuwe wawazi na tuelewane. Tunahitajiana katika maisha ya kila siku.
 
Wanawake ni wabinafsi sana sky yan usibishe, kuna jamaa huku kaja kulalamika alikuwa ana shida na milion mbil amalizie project ya familia mke wake kakusha kimya kumbe anahela ya kikoba milion tano ambacho hicho kikoba chenyewe jamaa ndio alikuwa anamchangia na jamaa kaja kujua too late wakati kaenda kukopa hela ya riba, na hiyo ndio hali halis ya wanawake anaweza akawa na milion anaitaka elfu hamsin kwene laki ulonayo 🤣🤣[emoji16]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nikweli mkuu father is a foundation and mother is a head of the family.
love and sex haiwez kuimarisha ndoa bali hekima,uelewa,usikivu na maarifa unakuta huna hata kitabu cha masuala ya familia au ndoa ndio maana career zetu na magari yanadumu coz umesotea zote.
maarifa nikitu muhimu sana.
 
Niliambiwa na mama mmoja "men see things in a general perspective while women see dem in a specific one"...

Je, ni kweli hii ??..
Ni kweli, tunaweza kwenda kwenu kwa mara ya kwanza na mama yako akatuwekea chai katika vikombe vyenye ukubwa tofauti. Nikasahau maandalizi yote ya chai ile nikabaki ninajiuliza kwanini kikombe changu kilikua kidogo.
 
Wanawake ni mama zetu tunawapenda sana.. ila ubinafsi ipo kwenye damu zenu

Ndio hivyo mkuu ila hatuna jinsi. Hao ndio Mungu alitupa tuishi nao. Inabidi tupambane hivyo hivyo hakuna namna maana hawakwepeki..
 
nikweli mkuu father is a foundation and mother is a head of the family.
love and sex haiwez kuimarisha ndoa bali hekima,uelewa,usikivu na maarifa unakuta huna hata kitabu cha masuala ya familia au ndoa ndio maana career zetu na magari yanadumu coz umesotea zote.
maarifa nikitu muhimu sana.
Hayo ya love na mapenz yaondoe kwene point yako ndoa nyingi zinateterekeka sababu there is no sex na no sex ndani mtu anaenda kupasua au kupasuliwa nje, hata uwe na hekima kama suleiman alafu usimkaze mkeo ataenda kumpa jamaa nje kama hautajua utadhani kila kitu poa ukijua tayari amani inatoweka.
 
Mara ngapi mnatuacha nyumbani tunakula ugali na kachumbari sisi na watoto nyiinyi mkila nyama choma?

100% Aiseee, sijaoa, ila najiulizaga sana nikienda sehemu kula, hivi hawa wababa wanaochoma nyama,samaki, kuku mixer kaachumbati, ndizi, pilipil pembeni na nyumbani kwake wanakula hivi hivi??? daaahh, hatari sana
 
Back
Top Bottom