Ni kweli, tunaweza kwenda kwenu kwa mara ya kwanza na mama yako akatuwekea chai katika vikombe vyenye ukubwa tofauti. Nikasahau maandalizi yote ya chai ile nikabaki ninajiuliza kwanini kikombe changu kilikua kidogo.
The devil is our partner in crime sinceThe Eden Era.
Mati ya viumbe complex sijawahu kuwaelewa ni mwanamke. Mm huwa namchukulia sawa na mtoto mdogo. Japo mwaka wa 10 sasa nipo kwenye ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Imepenya hiyo mpaka Aibu nimeiona mm...Mara ngapi mnatuacha nyumbani tunakula ugali na kachumbari sisi na watoto nyiinyi mkila nyama choma?
venus vs marsMars wanatoka wakaka
Wanawake ni mama zetu tunawapenda sana.. ila ubinafsi ipo kwenye damu zenu
Wanawake ni wabinafsi sana sky yan usibishe, kuna jamaa huku kaja kulalamika alikuwa ana shida na milion mbil amalizie project ya familia mke wake kakusha kimya kumbe anahela ya kikoba milion tano ambacho hicho kikoba chenyewe jamaa ndio alikuwa anamchangia na jamaa kaja kujua too late wakati kaenda kukopa hela ya riba, na hiyo ndio hali halis ya wanawake anaweza akawa na milion anaitaka elfu hamsin kwene laki ulonayo [emoji1787][emoji1787][emoji16]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tatizo watu wanaoa wanawake wasio na upendo kwao..Yaani anakubali kuolewa nawe kama fursa tu..Ndomana ata ukikwama ndani anakua sio msaada kwako,,Ata kama uwezo anao..Tutaendelea kuwaona wabinafsi tu.Kumbe makosa yetu[emoji42]
Mwanamke unaweza kumlisha miaka 50 ila siku mambo yako yakakwama akakulisha mwa mwezi mmoja tu dunia yote itaambiwa
Sent using IPhone X
Nyinyi mnaoa sura hamuoi wife material. Kuna dada mume wake alipoteza kazi kwa miaka mitano waliishi kwa mshahara wa mke.Mwanamke unaweza kumlisha miaka 50 ila siku mambo yako yakakwama akakulisha mwa mwezi mmoja tu dunia yote itaambiwa
Sent using IPhone X
Sijakuelewa au hujsoma vizuri nlichoandika ?