Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
Vipi kuhusu kuwanyima papuchi wanaume huo sio ubinafsi?
Ongea na mke wako ufahamu sababu ya kunyimwa
Sababu anaisemaga eti hapendi usumbufu saa ya kulala yaani ninyi wanawake mna vituko ila wanaume wavumilivu bado tupo japo ni wa kuhesabu.
Mkuu pole sana mkuu ebu mwelekeze yalokukuta nimesikitika sana mkuu daaah, ile level ya ubinafsi ni ya kiwango cha lami kabisa.
Hao ni mama zetu wa kuanzia miaka ya 1980's kurudi nyuma......Mara ngapi mnatuacha nyumbani tunakula ugali na kachumbari sisi na watoto nyiinyi mkila nyama choma?
Hilo ni chaguo lenu... Kwani wee huwezi toka na watoto ukale nyamachoma tena eapecially mwanamke ambae unakipato chako.Mara ngapi mnatuacha nyumbani tunakula ugali na kachumbari sisi na watoto nyiinyi mkila nyama choma?
Ni kweli kabisa!Wanawake tumetoka sayari ya Zuhura (Venus), hata mawazo yetu yako ki Zuhura tofauti inaanzia hapo. Mwanaume anawaza mambo makubwa lakini anasahau kuwa haya madogo yakikosekana tofauti itaonekana.
Mwanaume atanunua kiwanja, atajenga nyumba lakini hafahamu kuwa deco ndani ya nyumba ni muhimu na inafanya nyumba kuwa nyumbani. Wanawake wengi deco na upambaji viko kwenye damu zetu. Huwezi kukaa kwenye nyumba ambayo haijapambwa.
Mwanaume atalipa Ada ya mtoto milioni tano, atampa mtoto nauli ya kwenda shule na elfu ishirini ya kujikimu. Mama anafahamu kuwa kijana wake amefikia umri wa balehe na anajua Kuna style ya mavazi anayoipenda ili aendane na vijana wenzake. Mama atatoa laki mbili pasi Baba kufahamu kijana anakwenda chimbo kutafuta viwalo.
ili tuweze kuishi pamoja katika sayari dunia inabidi tuwe wawazi na tuelewane. Tunahitajiana katika maisha ya kila siku.
wanawake wanaweza kuisoma akili ya mwanaume?upewe attention wewe ni nani?Ni kweli kabisa!
Wanaume wanashindwa kusoma akili ya mwanamke
Mwanamke anawaza kutekeleza matatu kwa wakati mmoja
Wanawake wanahitaji attention kuliko shilingi kumi yako unayoikimbiza siku na mchana na haionekani.. MNAKERA SANA
Sio wote wanavutiwa na pesa zenu bana
Mwanamke ni pambo la nyumba
** Mnatuvuruga tu
Ndio umaandazi wenyewe huo, kisha mtoto akikua unajitokeza kuleta vurugu.
Weee kumtajia mwanaume GAWIO la kikoba ni kosa la jinaiii.. Mbona hutabakiwa na hata sent tano. Plans zote za pesa atapanga yeyeee hahahahaWanawake ni wabinafsi sana sky yan usibishe, kuna jamaa huku kaja kulalamika alikuwa ana shida na milion mbil amalizie project ya familia mke wake kakusha kimya kumbe anahela ya kikoba milion tano ambacho hicho kikoba chenyewe jamaa ndio alikuwa anamchangia na jamaa kaja kujua too late wakati kaenda kukopa hela ya riba, na hiyo ndio hali halis ya wanawake anaweza akawa na milion anaitaka elfu hamsin kwene laki ulonayo [emoji1787][emoji1787][emoji16]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Here we go again, 🤣🤣🤣🤣🤣Weee kumtajia mwanaume GAWIO la kikoba ni kosa la jinaiii.. Mbona hutabakiwa na hata sent tano. Plans zote za pesa atapanga yeyeee hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
wajaze tu mimi naendelea kuzalisha tu.nimeshazalisha watatu.ngoja vuguvugu la corona liishe nizalishe mwingineNdio umaandazi wenyewe huo, kisha mtoto akikua unajitokeza kuleta vurugu.
Ndo maana tunawajazaga simu tangu utotoni sababu ya umaandazi kama huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kumbuka kuna majukumu mengine mke anayafanya ndani ya nyumba ambayo wewe hauyafanyiSijaelewa hapa sky unataka kusema nini?
Kutoka kwenye ubavu mi natafsiri she is a part of me so kama mkono ulivyo kiungo kwenye mwili wangu hunisaidia kufanya mengi basi hata mke ajitoe na kusalimisha kipato chake ili tushambulie plan n project za familia ili tukimbie faster kimaendeleo.
SIJUI NANI ALIWALETEA HII DHANA YA CHANGU CHETU NA CHAKE CHAKE WANAWAKE WA AFRICA
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake tumetoka sayari ya Zuhura (Venus), hata mawazo yetu yako ki Zuhura tofauti inaanzia hapo. Mwanaume anawaza mambo makubwa lakini anasahau kuwa haya madogo yakikosekana tofauti itaonekana.
Mwanaume atanunua kiwanja, atajenga nyumba lakini hafahamu kuwa deco ndani ya nyumba ni muhimu na inafanya nyumba kuwa nyumbani. Wanawake wengi deco na upambaji viko kwenye damu zetu. Huwezi kukaa kwenye nyumba ambayo haijapambwa.
Mwanaume atalipa Ada ya mtoto milioni tano, atampa mtoto nauli ya kwenda shule na elfu ishirini ya kujikimu. Mama anafahamu kuwa kijana wake amefikia umri wa balehe na anajua Kuna style ya mavazi anayoipenda ili aendane na vijana wenzake. Mama atatoa laki mbili pasi Baba kufahamu kijana anakwenda chimbo kutafuta viwalo.
ili tuweze kuishi pamoja katika sayari dunia inabidi tuwe wawazi na tuelewane. Tunahitajiana katika maisha ya kila siku.
Ubinafsi mnao tena mkubwa sana nitakupa mifano haiWanawake tumetoka sayari ya Zuhura (Venus), hata mawazo yetu yako ki Zuhura tofauti inaanzia hapo. Mwanaume anawaza mambo makubwa lakini anasahau kuwa haya madogo yakikosekana tofauti itaonekana.