Mara ngapi mnatuacha nyumbani tunakula ugali na kachumbari sisi na watoto nyiinyi mkila nyama choma?
Ni kweli, tunaweza kwenda kwenu kwa mara ya kwanza na mama yako akatuwekea chai katika vikombe vyenye ukubwa tofauti. Nikasahau maandalizi yote ya chai ile nikabaki ninajiuliza kwanini kikombe changu kilikua kidogo.Niliambiwa na mama mmoja "men see things in a general perspective while women see dem in a specific one"...
Je, ni kweli hii ??..
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ni kweli, tunaweza kwenda kwenu kwa mara ya kwanza na mama yako akatuwekea chai katika vikombe vyenye ukubwa tofauti. Nikasahau maandalizi yote ya chai ile nikabaki ninajiuliza kwanini kikombe changu kilikua kidogo.
Wanawake ni mama zetu tunawapenda sana.. ila ubinafsi ipo kwenye damu zenu
Hayo ya love na mapenz yaondoe kwene point yako ndoa nyingi zinateterekeka sababu there is no sex na no sex ndani mtu anaenda kupasua au kupasuliwa nje, hata uwe na hekima kama suleiman alafu usimkaze mkeo ataenda kumpa jamaa nje kama hautajua utadhani kila kitu poa ukijua tayari amani inatoweka.nikweli mkuu father is a foundation and mother is a head of the family.
love and sex haiwez kuimarisha ndoa bali hekima,uelewa,usikivu na maarifa unakuta huna hata kitabu cha masuala ya familia au ndoa ndio maana career zetu na magari yanadumu coz umesotea zote.
maarifa nikitu muhimu sana.
Wanaoa suraTatizo watu wanaoa wanawake wasio na upendo kwao..Yaani anakubali kuolewa nawe kama fursa tu..Ndomana ata ukikwama ndani anakua sio msaada kwako,,Ata kama uwezo anao..Tutaendelea kuwaona wabinafsi tu.Kumbe makosa yetu😴
Mara ngapi mnatuacha nyumbani tunakula ugali na kachumbari sisi na watoto nyiinyi mkila nyama choma?