Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Najuta sana kwanini nilizaliwa TanzaniaKama Nchi tulipofika Sasa tuwe tunachagua watu wa kuongea aiseeee, hizi Sifa zikizidi ni ujinga na matusi! Eti Wanawake wa Singida wanamshukuru Samia kwakua Sasa wamepata maji ndoa zimeimarika wanapata na "kile Cha asubuhi"! Ujinga mtupu
View attachment 2785840
BhalaaKwani "mama" ndio anawapa ?
Tena chini ya uongozi wa CCMNajuta sana kwanini nilizaliwa Tanzania
Who knows haha 😹Kwani "mama" ndio anawapa ?
Kama Nchi tulipofika Sasa tuwe tunachagua watu wa kuongea aiseeee, hizi Sifa zikizidi ni ujinga na matusi! Eti Wanawake wa Singida wanamshukuru Samia kwakua Sasa wamepata maji ndoa zimeimarika wanapata na "kile Cha asubuhi"! Ujinga mtupu
Ina wanna CCM Wajinga sanaHii nchi ina watu wajinga sana...
Tanzania Wajinga Ni Wengi SanaHii nchi ina watu wajinga sana...
Bold kubwa,kwanza jifunze kuandika!Huongo mtupu, hiyo clip wiki 2 kabla ya ziara ya Rais ilishaanza kutembea na kama sikosei wako Shinyanga.
Sifa zikizidi basi msifiaji mara nyingi huwa anaongea mpaka mambo ya hovyo!Kama Nchi tulipofika Sasa tuwe tunachagua watu wa kuongea aiseeee, hizi Sifa zikizidi ni ujinga na matusi! Eti Wanawake wa Singida wanamshukuru Samia kwakua Sasa wamepata maji ndoa zimeimarika wanapata na "kile Cha asubuhi"! Ujinga mtupu
View attachment 2785840