Wanawake Singida wamshukuru Samia Kwa "Cha Asubuhi"

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Kama Nchi tulipofika Sasa tuwe tunachagua watu wa kuongea aiseeee, hizi Sifa zikizidi ni ujinga na matusi! Eti Wanawake wa Singida wanamshukuru Samia kwakua Sasa wamepata maji ndoa zimeimarika wanapata na "kile Cha asubuhi"! Ujinga mtupu
 
View attachment 2785840
Sifa zikizidi basi msifiaji mara nyingi huwa anaongea mpaka mambo ya hovyo!
 
Back
Top Bottom