Wanawake Tafuteni hela zenu, kizazi cha wanaume wahongaji kinaenda kufika tamati

Wanawake Tafuteni hela zenu, kizazi cha wanaume wahongaji kinaenda kufika tamati

Siku hizi wanaume ndo mmekuwa,
wambea
kwenye wivu
waongeaji?

sijui hata nafasi ya mwanamke kwenye jamii ni ipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo sio kuhonga au kutoa pesa, sema wanaume wa saivi hela hawana. Wao wenyewe wanatafuta wanawake wenye hela walelewe (viben10 na marioo).
Wengine wakishindwa ku afford kwa wanawake, wanahamia kwa Gays wakijua ni kitongaah, lol
Ni shida tupuuuh.
 
Tuwekane sawa. Suala la kuhonga si la asili(nature). Ni zao la utawala wa mwanaume dhid ya mwanamke, ukolon uliokolezwa na vitabu vyenye nguvu ya kinga ya kuhoji km biblia na quran. Cha asili ni mapenz sio huduma. Mwanamke anavyozid kujikomboa kwny makucha ya ukolon huu ni anapata hiki lakin anakosa kile. Anakosa thaman ya uanamke. Anakuwa tu binadam. Tunaenda vizur kwamba itafikia mahala kila upande utaelewa mapenz si utumwa wa mmoja kwa mwingine. Wazungu wako hapo. Hakutakuwepo kuumizana sana kiroho na kiuchumi. Kila mtu atatenda kwa haki. Tusidhan teknolojia ya midoli inapanuka kwa ukorofi wa binadam tu, ni mbadala unatafutwa. Wanawake wakijajitosheleza kimaisha na wanaume watakuwa hawahitaj sana papuch za kujiumiza kiuchumi. Namalizia na, huduma ya kuuza ngono irasimishwe kisheria. Kijamii tayari. Muda wa kuvurugana na kukerana haupo tena.
 
Mi napenda twende mbali zaid, mapenzi tuyaone kama hitaji la mwisho. Kuna watu wanapenda ngono akiikosa anatetemeka kama teja aliyekosa dose. Na kuhonga sana ni matokeo ya kupenda sana ngono, kupenda sana sifa, udhaifu wa kujieleza, na kiwango cha juu mno cha kutokujiamin. Hata hivyo mapenz ni urafik. Kusaidiana sio kuhonga endapo hamuumizan. Ukishajiamimisha huyu ni mzuri si wa kukosa au umebahatika jua hujiamini. Ni kaugonjwa kama gono tu! Hujiulizi hivi ukimkosa utakosa nini. Waliompata walipata nini. Uliowaona wazur ukawapata ulipata nin.
 
Kama heading inavyosema hapo juu, Dada zangu tafuteni hela, yaan Vijana wa siku hizi ukiwa mzigo kwake umeachwa, utachezewa hadi uchakae na ndoa huioni ng'oo. Vijana siku hizi wakiombwa hela wanahisi km wanataka kuibiwa wanatoka nduki km wameona kirusi cha Corona, madada tafuten hela.

Wadada tafuten hela zenu, vigezo vya kudumu kwenye mahusiano vimeongezeka, heshima sawa ipo, lakin kuwa na hela zako tayari ni kigezo siku hizi. Mwanaume akidate nawewe akagundua hauna hela amini nakuambia hamfiki mbali utaachwa tu, sababu anajua amejitwisha furushi.

Wadada tafuteni hela zenu, hata kumpata mwanaume mwenye hela siku vijana nao wanaangalia je nawew una hela? Kama huna hela utakoma, utaombwa tigo, utapigwa stail zote huheshimiki, maana anakuona km amekuokota akulishe, au malaya tu mnabadilishana bidhaa yeye anakupa hela wew unampa papuchi.

Wadada tafuten hela zenu, Vikao na Vilio vya Vijana kulalamika kuombwa hela na wadada vinazidi kupanda kwa kasi ya ajabu, wanaogopwa kuombwa hela balaa, wapo tayari wazime simu au hata wakublock km unasumbua sana kuomba hela.

WADADA TAFUTEN HELA ZENU
Kuna hatar kubwa ya Masponsa kutoweka,😂😂
 
Sikuhiz mahitaji yamekuwa mengi na gharama ni kubwa pia tofaut na zamani kwa sisi tunaonza kutengeneza maisha suala la kuhonga lazma tulipige vita maana ukikomaa ukashindana na wazee waliokwisha tengeneza maisha hutoboi
Asante kwa ushauri huu mkuu
 
Mkuu ukijiunga huku hutajuta hasa katika hatua za mwanzo za kujiimarisha kiuchumi
Mimi pamenisaidia mno
Ukifika wakati nakuwa na mademu wa4
Nilivyokuja kupiga mahesabu hela nahonga kwa mwezi ni nyingi mno kwa Sasa nimewapiga chini nimebaki na mke mtarajiwa tu
 
Siku hizi wanaume ndo mmekuwa,
wambea
kwenye wivu
waongeaji?

sijui hata nafasi ya mwanamke kwenye jamii ni ipi?
Kasome kitabu cha mama ntilie utaiona nafasi ya mwanamke katika jamii
 
Kama heading inavyosema hapo juu, Dada zangu tafuteni hela, yaan Vijana wa siku hizi ukiwa mzigo kwake umeachwa, utachezewa hadi uchakae na ndoa huioni ng'oo. Vijana siku hizi wakiombwa hela wanahisi km wanataka kuibiwa wanatoka nduki km wameona kirusi cha Corona, madada tafuten hela.

Wadada tafuten hela zenu, vigezo vya kudumu kwenye mahusiano vimeongezeka, heshima sawa ipo, lakin kuwa na hela zako tayari ni kigezo siku hizi. Mwanaume akidate nawewe akagundua hauna hela amini nakuambia hamfiki mbali utaachwa tu, sababu anajua amejitwisha furushi.

Wadada tafuteni hela zenu, hata kumpata mwanaume mwenye hela siku vijana nao wanaangalia je nawew una hela? Kama huna hela utakoma, utaombwa tigo, utapigwa stail zote huheshimiki, maana anakuona km amekuokota akulishe, au malaya tu mnabadilishana bidhaa yeye anakupa hela wew unampa papuchi.

Wadada tafuten hela zenu, Vikao na Vilio vya Vijana kulalamika kuombwa hela na wadada vinazidi kupanda kwa kasi ya ajabu, wanaogopwa kuombwa hela balaa, wapo tayari wazime simu au hata wakublock km unasumbua sana kuomba hela.

WADADA TAFUTEN HELA ZENU

Kama wajinga wasivyoisha basi na wahongaji hawatokuja kuisha.
 
Mngekuwa na jeuri km mnavyoandika humu tungeshake ila tunaowajua hamtupi taabu kabisa tangu enzi wanawake walitumika Kama chambo mbele ya wanaume wenye wadhifa ili tu akomboe nchi,ndugu au familia yake.

Sasa wengine hapa wanajitutumua wakati hata wadhifa hawana Nani ajisumbue kumuomba hela kapuku😂😂😂
 
Back
Top Bottom