Wanawake tajeni top 10 ya I'd za kiume zenye majina mazuri...

Ndio na wewe unajua unaandika nonsense?
Basi kwanzia leo kaa ukijua Paula anakubali "nonsense " zako unazoendika.
Andika ka novel niendelee kufurahia Don.

Nilishawahi kujaribu, kila nikisoma nachoandika nikawa naona kiko below standard.

Angalau hata hivyo JF imenisaidia sana kwenye kuandika, maana ni moja ya platforms ambazo ukizitumia vizuri unaweza kujifunza kitu kwenye uandishi.
 
Shukrani na karibu sana.
 
Umefika amini..
Tafsiri ya boss kwako Ni ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafsiri ya boss kwangu ni aliye na mamlaka au nyadhifa juu ya jambo fulani kwa fulani.

Ni jambo zuri machoni kwani linakuweka juu. Hammaz hiyo sehemu anaipa taswira ya ndoto, aliye lala pekee ndiye anayejua uhalisia wake. Kuna jambo nikagundua baadae. Kwamba moyo nao una masikio ambayo akili haielewi kinachosikilizwa ni nini.

Kwamba wengi wao tunapenda tuwe nyadhifa ya juu na mfanano wake hata kwa wito! Nimeamua na kuridhia moyo wangu kuishi maisha ya mtumwa hata niwe hali ya juu kiuchumi, na kwa hilo moyo wangu unapata amani!

Ni njia yangu, nipo pekee! Ijapokuwa wapo watakaotembea pamoja nami, lakini hatokuwepo wa kutembea kwa ajili yangu. Napata tabu nikiitwa kwa majina makubwa! Napata raha nikiitwa majina ya hohehahe.

Nimeamua kutanguliza love kwa kila kitu. Upendo unatuweka kwenye daraja la sawa. Nilijiuliza inakuwaje moyo ni mdogo lakini unaweka kitu kikubwa kama upendo? Ajabu sikustaajbu udogo wa macho lakini unaona makubwa!

Mbali na hayo zawadi uliyonipa nimeipokea kwa mikono miwili na kwa upendo.

Tupo pamoja?
 
Hahahaha
Huyu ni Hammaz.
Uandishi wako unanikosha Sana ..una flow fulani hivi unique Sana.

Nitakuita boss siku zote
Aksahnte kwa kuipokea zawadi yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…