Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Yawezekana Wewe hujijui ila amini nakusoma Mara nyingi.Shangaa na wewe, mimi nimeshangaa nimetokea optimistic positive thinker na fujo zangu zote hizi!
Kuna vitu najifunza kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawezekana Wewe hujijui ila amini nakusoma Mara nyingi.Shangaa na wewe, mimi nimeshangaa nimetokea optimistic positive thinker na fujo zangu zote hizi!
Asante sana kwa mara nyingine, nafarijika kusikia hivyo.Yawezekana Wewe hujijui ila amini nakusoma Mara nyingi.
Kuna vitu najifunza kwako
🙏🙏🙏Asante sana kwa mara nyingine, nafarijika kusikia hivyo.
Mbona hata wewe unaandika?Humu tumekuja wenyewe, akili tumeacha nje.
Hatuna muda wa kuandika vitu vya maana.
Mbona hata wewe unaandika?
Upo ndani ya top 10 yangu.
Huyo hapendi shule tuu, ila ana akili.Binafsi sidhani.
Maana akili zangu nazijua mwenyewe.
Mwaka huu kuna dogo alikataa kwenda kuanza form 1, yeye anasema hajafaulu ila amechaguliwa kwenda sekondari. Kwa hiyo hataki kwa sababu yeye hana akili.
Basi ndo itakuwa hivyo kwangu
Huyo hapendi shule tuu, ila ana akili.
Ndio na wewe unajua unaandika nonsense?Itakuwa labda, ila mimi nilimwelewa.
Kila mtu anaijua akili zake.
Ndio na wewe unajua unaandika nonsense?
Basi kwanzia leo kaa ukijua Paula anakubali "nonsense " zako unazoendika.
Andika ka novel niendelee kufurahia Don.
Siku hizi naona umepunguza kuandika nondo zako.Nilishawahi kujaribu, kila nikisoma nachoandika nikawa naona kiko below standard.
Angalau hata hivyo JF imenisaidia sana kwenye kuandika, maana ni moja ya platforms ambazo ukizitumia vizuri unaweza kujifunza kitu kwenye uandishi.
Shukrani na karibu sana.Top 5 nyingine
1.Humble African
Kaka popote ulipo Rudi hapa jukwaaani,nakumiss Sana.
2.Hammaz huwa unapangilia maandishi yako vizuri
3.Waziri wa Kaskazini
Napenda jinsi unavyoshinda international forumn
4.NYEKUNDU YA BIBI
Hi I'd nikiiona tu nacheka.
Kuna Watu Kama wachekeshaji hivi
5.Kiranga
Huwa unanifanya niwaze maisha kwa namna chanya.
Nikiona maandishi yako..Ni mtu unayefikiri kwa namna chanya na SI hasi
An Optimist
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaUzee nadhani.
Nashukuru.
Umefika amini..Nashukuru.
Umenipa kitu kikubwa! Cha kuniita boss!
Sijafunzwa kutopokea zawadi, ijapokuwa hiyo hatua bado sijaifikia lakini ni heri! Nimeipokea kwa mikono miwili.
Tafsiri ya boss kwangu ni aliye na mamlaka au nyadhifa juu ya jambo fulani kwa fulani.
HahahahaTafsiri ya boss kwangu ni aliye na mamlaka au nyadhifa juu ya jambo fulani kwa fulani.
Ni jambo zuri machoni kwani linakuweka juu. Hammaz hiyo sehemu anaipa taswira ya ndoto, aliye lala pekee ndiye anayejua uhalisia wake. Kuna jambo nikagundua baadae. Kwamba moyo nao una masikio ambayo akili haielewi kinachosikilizwa ni nini.
Kwamba wengi wao tunapenda tuwe nyadhifa ya juu na mfanano wake hata kwa wito! Nimeamua na kuridhia moyo wangu kuishi maisha ya mtumwa hata niwe hali ya juu kiuchumi, na kwa hilo moyo wangu unapata amani!
Ni njia yangu, nipo pekee! Ijapokuwa wapo watakaotembea pamoja nami, lakini hatokuwepo wa kutembea kwa ajili yangu. Napata tabu nikiitwa kwa majina makubwa! Napata raha nikiitwa majina ya hohehahe.
Nimeamua kutanguliza love kwa kila kitu. Upendo unatuweka kwenye daraja la sawa. Nilijiuliza inakuwaje moyo ni mdogo lakini unaweka kitu kikubwa kama upendo? Ajabu sikustaajbu udogo wa macho lakini unaona makubwa!
Mbali na hayo zawadi uliyonipa nimeipokea kwa mikono miwili na kwa upendo.
Tupo pamoja?