Nashangaaga sana utakuta mwanamke anashindwa kutoa ushirikiano mzuri kama daktari atakuwa yupo karibu na wanafunzi wanaosomea udaktari, mfano labda mwanamke ana shida sehemu zake za siri utakuta anamwambia daktari awafukuze wanafunzi ndipo aweze kumueleza tatizo.
Kwa daktari asiye muelewa atafukuza wanafunzi lakini kwa daktari anayejielewa atamshauri mgonjwa hao wanafunzi wawepo waweze kuelewa kutatua tatizo hilo maana ndio madaktari wa huko mbeleni, sasa wasiposikiliza case na kujua kutake history vizuri kutoka kwa mgonjwa hawataweza kuwa madaktari wazuri huko mbeleni