Wanawake toeni ushirikiano mzuri kwa Madaktari wanafunzi wanapokuwa mafunzoni

Wanawake toeni ushirikiano mzuri kwa Madaktari wanafunzi wanapokuwa mafunzoni

Sina mood

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
248
Reaction score
1,442
Nashangaaga sana utakuta mwanamke anashindwa kutoa ushirikiano mzuri kama daktari atakuwa yupo karibu na wanafunzi wanaosomea udaktari, mfano labda mwanamke ana shida sehemu zake za siri utakuta anamwambia daktari awafukuze wanafunzi ndipo aweze kumueleza tatizo.

Kwa daktari asiye muelewa atafukuza wanafunzi lakini kwa daktari anayejielewa atamshauri mgonjwa hao wanafunzi wawepo waweze kuelewa kutatua tatizo hilo maana ndio madaktari wa huko mbeleni, sasa wasiposikiliza case na kujua kutake history vizuri kutoka kwa mgonjwa hawataweza kuwa madaktari wazuri huko mbeleni
 
Mwingine anaambiwa avue sidiria ili mwanafunzi aweze kufanya examination vizuri utakuta eti mgonjwa anagoma.

Sasa mtu atafanyaje respiratory system vizuri kama hutaki kuchojoa sidiria?
 
Wanafunzi wa kike wabaki. Wanafunzi wa kiume wasepe.

Siku hizi hospital nyingi madaktari wa magonjwa ya wanawake ni wanawake wenzao
Hao wanawake huko hospitali hawataki kuhudumiwa na wanawake wenzao ila cha ajabu kipindi Cha mafunzo wanawafukuza wanafunzi was kiume na kuwataka wabaki wa kike .

Ujinga huo
 
Kumbuka hao ni madaktari wa binadamu na binadamu ndio wewe.

Kwa hiyo inabidi wajifunze kupitia wewe.

Wakisikia Labia Majora inabidi waijue na kuiona
 
mwingine hata kufanyiwa per abdomen examination hataki ,utasikia mara ooh tumbo langu halishikwi na wanafunzi ,halafu kesho mwanafunzi huyo huyo ukimkuta Kawa daktari unalaumu kwamba hayuko competent enough
 
Mpo labour, mwanafunzi anataka kujifunza namna ya Ku PV unakataa, unafikiri kwa mwendo huo vifo vya wamama wajawazito vitapungua?

Mnagements za labour zinahitaji umakini wa Hali ya juu na suala la ku PV haliepukiki
 
Dogo muda huu ungeutumia kusoma hata Congenital Heart Defects.

Unapata wapi muda wa kuanzisha mada JF?
 
Sijui kwanini hospitali huwa napenda kuhudumiwa na daktari wa kike hata kama ni kichwa tu kinauma.
 
Back
Top Bottom