Wanawake tu

Wewe unakula kwa jirani...mumeo kashakula hotelini alafu watoto wakiumwa Mtapiamloo unatafuta mchawii??? Wanawake bhana kweli Mwalimu wenu mmoja...
 
Ila ujue kuna watu wana sifa sanaa...mtu kala mlenda bado atataka na "tospiki" mfyuuu ili adolishie nayy kala meat πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚au umekula samosa zenye chachandu unafika hom unacheua na wwπŸ˜‚πŸ˜Škhaa unataka harufu ya vitunguu isikike ili iwajeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ™ˆ!mjifunze kumute maisha yasonge
 
Madame B nakufa na avatar yakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hiv wewe tototundu una nn lakini πŸ˜‚πŸ˜‚@mother Confesser umeiona avatar ya le madam herself
 
Madame B nakufa na avatar yakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hiv wewe tototundu una nn lakini πŸ˜‚πŸ˜‚@mother Confesser umeiona avatar ya le madam herself
Shoga mie kule nishatoka.
Narudi muda ninaotaka.
Niko free ndio maana nafanya nalotaka.

Siwezi date na baba yangu mimi.
Huu ujumbe ukifika.....haki ntajua ni wewe.
Hahahhah
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚au umekula samosa zenye chachandu unafika hom unacheua na wwπŸ˜‚πŸ˜Škhaa unataka harufu ya vitunguu isikike ili iwajeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ™ˆ!mjifunze kumute maisha yasonge
Hahahaha ndio waje wajifunze wenye sifa zao za kijinga...mimi mama la mama VVIP mama wa makonfesa wote duniani siwezi kula dagaa nikatapika kuku...hata siku mojaπŸ‘ŒπŸ‘Œ
 
Shoga mie kule nishatoka.
Narudi muda ninaotaka.
Niko free ndio maana nafanya nalotaka.

Siwezi date na baba yangu mimi.
Huu ujumbe ukifika.....haki ntajua ni wewe.
Hahahhah
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚umeamua kuhamia side BπŸ˜‚πŸ˜‚ yaan ww ni kwikwii..sipelek umbea mm kwa x akui kwa mazoea gani nilonayo😁!furahia maisha tu kwakwel
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚umeamua kuhamia side BπŸ˜‚πŸ˜‚ yaan ww ni kwikwii..sipelek umbea mm kwa x akui kwa mazoea gani nilonayo😁!furahia maisha tu kwakwel
Maisha yenyewe mafupi kama ushuzi.
Afu tuanze kunyang'anyana pumzi...inahusu.

Apite Chalinze, mie nipite Bagamoyo....tutakutana Msata.
 
Hahahaha ndio waje wajifunze wenye sifa zao za kijinga...mimi mama la mama VVIP mama wa makonfesa wote duniani siwezi kula dagaa nikatapika kuku...hata siku mojaπŸ‘ŒπŸ‘Œ

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nakufananishaga na@Evelyn Salt wehu wakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!kwakweli umetisherr.... unanata na biti yaan huyu mama alikua ananionesha had mifano anafuta lips na tishu mm hapo nacheeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…