Wanawake tu

Wanawake tu

Wewe unakula kwa jirani...mumeo kashakula hotelini alafu watoto wakiumwa Mtapiamloo unatafuta mchawii??? Wanawake bhana kweli Mwalimu wenu mmoja...
 
Ila ujue kuna watu wana sifa sanaa...mtu kala mlenda bado atataka na "tospiki" mfyuuu ili adolishie nayy kala meat 😂😂😂

😂😂😂au umekula samosa zenye chachandu unafika hom unacheua na ww😂😊khaa unataka harufu ya vitunguu isikike ili iwaje😂😂😂💪💪🙈!mjifunze kumute maisha yasonge
 
Madame B nakufa na avatar yako😂😂😂😂 hiv wewe tototundu una nn lakini 😂😂@mother Confesser umeiona avatar ya le madam herself
 
Madame B nakufa na avatar yako😂😂😂😂 hiv wewe tototundu una nn lakini 😂😂@mother Confesser umeiona avatar ya le madam herself
Shoga mie kule nishatoka.
Narudi muda ninaotaka.
Niko free ndio maana nafanya nalotaka.

Siwezi date na baba yangu mimi.
Huu ujumbe ukifika.....haki ntajua ni wewe.
Hahahhah
 
😂😂😂au umekula samosa zenye chachandu unafika hom unacheua na ww😂😊khaa unataka harufu ya vitunguu isikike ili iwaje😂😂😂💪💪🙈!mjifunze kumute maisha yasonge
Hahahaha ndio waje wajifunze wenye sifa zao za kijinga...mimi mama la mama VVIP mama wa makonfesa wote duniani siwezi kula dagaa nikatapika kuku...hata siku moja👌👌
 
Shoga mie kule nishatoka.
Narudi muda ninaotaka.
Niko free ndio maana nafanya nalotaka.

Siwezi date na baba yangu mimi.
Huu ujumbe ukifika.....haki ntajua ni wewe.
Hahahhah
😂😂😂😂umeamua kuhamia side B😂😂 yaan ww ni kwikwii..sipelek umbea mm kwa x akui kwa mazoea gani nilonayo😁!furahia maisha tu kwakwel
 
😂😂😂😂umeamua kuhamia side B😂😂 yaan ww ni kwikwii..sipelek umbea mm kwa x akui kwa mazoea gani nilonayo😁!furahia maisha tu kwakwel
Maisha yenyewe mafupi kama ushuzi.
Afu tuanze kunyang'anyana pumzi...inahusu.

Apite Chalinze, mie nipite Bagamoyo....tutakutana Msata.
 
Hahahaha ndio waje wajifunze wenye sifa zao za kijinga...mimi mama la mama VVIP mama wa makonfesa wote duniani siwezi kula dagaa nikatapika kuku...hata siku moja👌👌

😂😂😂nakufananishaga na@Evelyn Salt wehu wako😂😂😂😂😂!kwakweli umetisherr.... unanata na biti yaan huyu mama alikua ananionesha had mifano anafuta lips na tishu mm hapo nacheeka
 
Back
Top Bottom