Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
- Thread starter
-
- #41
Maisha yenyewe mafupi kama ushuzi.
Afu tuanze kunyang'anyana pumzi...inahusu.
Apite Chalinze, mie nipite Bagamoyo....tutakutana Msata.
ππππππmama wa rombo huyo hukumpoza hata na balimi shogaa...πππnakufananishaga na@Evelyn Salt wehu wakoπππππ!kwakweli umetisherr.... unanata na biti yaan huyu mama alikua ananionesha had mifano anafuta lips na tishu mm hapo nacheeka
ππππππmama wa rombo huyo hukumpoza hata na balimi shogaa...
Tena apite mita 200 kama mpiga kura kituoni.ππππ alibana sana had ukashindwa kula vichwaπππ atupishe bwana we
Ntaachaje kujua kwa mfano,.namm ndio Mother Confessor πππππππnimempa hii umejuaje wa romboπππView attachment 953817
Pale mlangoni pameandikwa "wanawake tu"Maana yake ni kwamba mwanamke aende akachepuke halafu arudi kimya mumewe asijue
Kwaherini naondoka
Ila wanaume wakware dawa yao ndo hiyo.
Nae akale alikopeleka mboga.
Hahahhahah
Nimekuja mwaya...imebidi nisimame
Ngoja nije tutete....maana hii kichwa imehifadhi mema na mabayaHahahaaa ulisema utakuja Pm na kile kibarua
Naona karibia manabii watarudi nikisubiri
πππππππβββββπππππ
Tena apite mita 200 kama mpiga kura kituoni.
Hahahahah
Kha!!!....mtu unapata kichwa hata kukinyonyoa manyoya unashindwa kisa ndoa...nitafunga akhera.
Hakuna kaburi la single wala mwenye ndoa
Maana yake ni kwamba mwanamke aende akachepuke halafu arudi kimya mumewe asijue
Kwaherini naondoka
πππnyama yenye herniaππππ.. yenye sotokaππ maisha ndo haya haya... we live once..akili kumkichwaUkirudi na mishikaki yenye virusi unakula na mumeo kwa Mahaba yote.
πππππππnyama yenye herniaππππ.. yenye sotokaππ maisha ndo haya haya... we live once..akili kumkichwa
Hakyamungu shoga yangu, kuna wanaume wengine ni pasua kichwa sana.πππ»π»πππniokotwe magogoni mieeee hahahaa huwez amini nilikua nahofu na ww kweki kweliπππbora mwaya hufake...unafake ili iweje..kule kuna tuzo?kile hakuna tuzo ni mwendo wa π₯π₯π₯
Hakyamungu shoga yangu, kuna wanaume wengine ni pasua kichwa sana.
Nilikuwa siamini ule msemo wa unaweza kukua mwili ila sio akili.
Umenikuta nadamshi na maneno yangu ya kisela humu Jf, leo hii sitambuliki hata na mende wa chooni kwako unataka unipangie ratiba ya watu wa kuongea nao Jf!!!
Nikupe password za username yangu, email, insta, fb....shoga, kama ndo ndoa eeeee, oleweni nyie mwaya.
Mie imenishinda.
Khaaa!!!
Nilitamani nikutonye uone yule uliyekuwa unamsifiaga.
Unajua gubu..sasa gubu limelala pale.
Nikaona ya nini kukaushana bandama....akhaa!!!!
Mzee hujaelewa madaWewe unakula kwa jirani...mumeo kashakula hotelini alafu watoto wakiumwa Mtapiamloo unatafuta mchawii??? Wanawake bhana kweli Mwalimu wenu mmoja...
Mzee hujaelewa mada
Kwanza hebu tuondoke huku twenzetu kule kwenye jkt