Wanawake tu

Wanawake tu

Maisha yenyewe mafupi kama ushuzi.
Afu tuanze kunyang'anyana pumzi...inahusu.

Apite Chalinze, mie nipite Bagamoyo....tutakutana Msata.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alibana sana had ukashindwa kula vichwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ atupishe bwana we
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nakufananishaga na@Evelyn Salt wehu wakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!kwakweli umetisherr.... unanata na biti yaan huyu mama alikua ananionesha had mifano anafuta lips na tishu mm hapo nacheeka
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mama wa rombo huyo hukumpoza hata na balimi shogaa...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚nimempa hii umejuaje wa romboπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
20181202_174236.jpg
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alibana sana had ukashindwa kula vichwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ atupishe bwana we
Tena apite mita 200 kama mpiga kura kituoni.
Hahahahah
Kha!!!....mtu unapata kichwa hata kukinyonyoa manyoya unashindwa kisa ndoa...nitafunga akhera.
Hakuna kaburi la single wala mwenye ndoa
 
Maana yake ni kwamba mwanamke aende akachepuke halafu arudi kimya mumewe asijue
Kwaherini naondoka
 
Tena apite mita 200 kama mpiga kura kituoni.
Hahahahah
Kha!!!....mtu unapata kichwa hata kukinyonyoa manyoya unashindwa kisa ndoa...nitafunga akhera.
Hakuna kaburi la single wala mwenye ndoa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ»πŸ»πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚niokotwe magogoni mieeee hahahaa huwez amini nilikua nahofu na ww kweki kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚bora mwaya hufake...unafake ili iweje..kule kuna tuzo?kile hakuna tuzo ni mwendo wa πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Hakyamungu shoga yangu, kuna wanaume wengine ni pasua kichwa sana.
Nilikuwa siamini ule msemo wa unaweza kukua mwili ila sio akili.

Umenikuta nadamshi na maneno yangu ya kisela humu Jf, leo hii sitambuliki hata na mende wa chooni kwako unataka unipangie ratiba ya watu wa kuongea nao Jf!!!
Nikupe password za username yangu, email, insta, fb....shoga, kama ndo ndoa eeeee, oleweni nyie mwaya.
Mie imenishinda.

Khaaa!!!
Nilitamani nikutonye uone yule uliyekuwa unamsifiaga.
Unajua gubu..sasa gubu limelala pale.
Nikaona ya nini kukaushana bandama....akhaa!!!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚madame mwenzako nipo kutandani nacheka km mwehu nakera watu hapa πŸ˜‚πŸ˜‚had nalia khaaa eti mende wa choon kwako
..hahahhaa tukaushane bandamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!ndoa sio lelemama aisee...mie jana nimetoka kupita kipimo cha mwisho kbs cha ndoaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

demi alinisaidia nikavuka salama!aisee pole..rudi chaman kivingine!ila umejua kunichekesha πŸ˜‚πŸ˜‚!
 
Wewe unakula kwa jirani...mumeo kashakula hotelini alafu watoto wakiumwa Mtapiamloo unatafuta mchawii??? Wanawake bhana kweli Mwalimu wenu mmoja...
Mzee hujaelewa mada
Kwanza hebu tuondoke huku twenzetu kule kwenye jkt
 
Back
Top Bottom