Wanawake tulio single tuweni makini na hili

6,Wanaume walivyowajinga ukishamkaribisha kwako anawatangazia wanaume wengine ubabe wa kuonekana kwangu ,na hujionyesha kwa majirani kuwa yeye ndo baba mwenye nyumba
Duh. Sisi wanaume kwakweli tupo wajinga sana
 
Usipime mwanaume hata siku moja 😂 mwanaume nikiumbe kingine kabisa.
 
Hahahahaha unafundisha mabahari wenzako sio
Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 huu uzi bana acha tu niishie kucheka
 
Hivi Kuna mwanamke yupo single kweli..? Ngumu kumesa! Labda awe mbibi,mnaposema mwanamke kuwa single siwaelewi labda useme mpo likizo!!

Hayo maswala mengine mabaharia tutakaa tujue tuna solve vipi...
Hivi kama hauna ndoa ukiulizwa marital status officially unasemaje
 

Sasa uko single alafu ukaribishe tena mpenzi wako wakati uko single
Alafu hakuna mwanamke alie single duniani tusiganganyane
 
Ukishakubali kutumika kama chombo cha kumstarehesha mwanamume ujue umejimaliza mwenyewe. Mapenzi ni kikohozi, hakuna mwanamke yeyote DUNIANI awezaye kuishi hizo kanuni labda kupitia keyboard.

Ufanye nini basi? Acha kugawa uchi wako hovyo ndipo hapo mwanamume sahihi atajitokeza kutaka ndoa. Vinginevyo utaendelea kuwapata dungadunga tu, wanakula na kupangusa kisha wanasepa zao.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Aliekudanganya nani sisi wanaume tunaweza gharmikia vyote hivyo hadi kodi ya mwaka ukalipiwa lakini lengo letu ni kukukojolea mara moja tuu na unaachwa/kuachiwa vyote na usinione
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…