Wanawake tulio single tuweni makini na hili

🤣 🤣 🤣 🤣 kabla sjaolewa nlikuwa nasema niko single siku zote siezi kujieka bond kwa boyfriend nikazibia wengine bhana....
Kwahiyo angetokea mwingine kuja kulipa mahari boifurendi wako ungempiga chini?
Nyie baadhi yenu wabinafsi sana.
 
Nafikiri hii ni kwa wale ambao wapo pamoja ili kupoteza muda na kwa wadangaji, ila kama mna malengo kwenye mahusiani yenu... Ushauri wako sio jambo la kulifuata
 
Ugumu wa kuolewa ndio umekusukuma kuandika hivi

Shida leo ni wanawake kuwa rahisi kugawa unyumba bila kuingia kwenye ndoa ndio maana kuolewa imekuwa ngumu
Ebu amasisha kugawa unyumba mpaka ndoa nitaona umefanya la maana cutelove,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika vizuri lakini umesema usimkaribishe kwako mara ukimkaribisha akakkukuta na mwanaume? Huyo mwanaume sio mwanaume?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nimekuelewa kbx ulichokisema ntakifanyia kazi
 
Aiseee huu uzi unaeleza uwezo wako wa kufikiri woteee

Kila point imeelezea udhaifu wako

Kwa kifupi unashida kubwa sana kichwani tena kubwa kweli kweli..
 
Hayo utayajua kama hujampenda mtu,ila kama limoyo limemuangukia mtu huwez kumbuka hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…