Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Mwanamke anapenda Ila suala la kutongoza lipo kwa mwanaume kiasili kwa hiyo mwanaume ndo anataka kitu atakacho na sio mwanamkeNimegundua ndoa nyingi hazidumu kwa sababu wanawake wengi wameingia kwenye ndoa na wanaume waliokuwa tayari kuwaoa na sio wale wenye mapenzi ya dhati kwao.
Inatokea unampenda mwanaume ila hakuoi .anatokea mwingine anatangaza ndoa inabidi ukubali .muda nao haucheleweshi matokeo
Ndoa inakuwa ndoana maana hakuna feelings wala nidhamu
Ni ngumu mwanamke kusex na mtu asiempenda,ni ngumu kumuheshimu mwanaume usiempenda .
Mbaya zaidi itokee huyo mwanaume alipendewa fedha na fedha imeisha ,basi hyo ndoa ni inakuwa jehanum kabisa
Mwanamke hapendi, mwanamke anamuheshimu mwanaume mwenye hela basiKweli kabisa. Huwezi kumuheshimu mwanaume usiempenda.
Aya jipe moyo vamia tu watu mjini.oa weka ndaniMwanamke anapenda Ila suala la kutongoza lipo kwa mwanaume kiasili kwa hiyo mwanaume ndo anataka kitu atakacho na sio mwanamke
Ndo ukweli ili muolewe na Wanaume muwapendao na nyinyi anzeni kutongoza na kwenda kuwalipia mahari Wanaume hilo ndo suluhishoAya jipe moyo vamia tu watu mjini.oa weka ndani
Uje ulie lie hapa
Shogake upo?? How is you boy??Kweli kabisa. Huwezi kumuheshimu mwanaume usiempenda.
Moyo nao unazingua .unagoma kabisa kumpenda .sasa hapo ndo majangaHili ulilo liongea ni kweli kabisa 100%
Wanawake wengi wameolewa ktk ndoa za design hiyo Huwa wanasema nitampenda mume wangu ndani ya ndoa
Na nitamjuaje mwanamke anayenipenda? Ili nimwoeKweli kabisa. Huwezi kumuheshimu mwanaume usiempenda.
Ilaumu nature/asili ambayo imempa mwanaume uthubutu wa kutongoza na kuanzisha familiaMoyo nao unazingua .unagoma kabisa kumpenda .sasa hapo ndo majanga
Pole sana kwa kuachwa, ila ipo siku utampata akupendaye na atakuoa mfurahie marriage life.Nimegundua ndoa nyingi hazidumu kwa sababu wanawake wengi wameingia kwenye ndoa na wanaume waliokuwa tayari kuwaoa na sio wale wenye mapenzi ya dhati kwao.
Inatokea unampenda mwanaume ila hakuoi .anatokea mwingine anatangaza ndoa inabidi ukubali .muda nao haucheleweshi matokeo
Ndoa inakuwa ndoana maana hakuna feelings wala nidhamu
Ni ngumu mwanamke kusex na mtu asiempenda,ni ngumu kumuheshimu mwanaume usiempenda .
Mbaya zaidi itokee huyo mwanaume alipendewa fedha na fedha imeisha ,basi hyo ndoa ni inakuwa jehanum kabisa
Upo sahihi 100% mfano hai mimi kuna mrembo mmoja nilikua nae kwenye mahusiano na tunapendana haswaa, sasa mimi mipango yangu sio kuoa kwa sasa na mdogo wake mwaka jana aliolewa, wazazi wake na ndugu wamemforce san aolewe kila siku ananiomba ata mahari tuchangie ila ratiba zangu haziruhusu kuoa sasa kuna jamaa kaenda kutoa posa na bint kakubali kutokana na hali ya wazazi kumlazimisha ila pale kwa kweli sioni ndoa maana bint kila siku ananitafuta na anasema ata akiolewa atanizalia imebidi nimpige stop kunitafuta acocentrate na ndoa yake tarajiwa ila bado akili yake ipo kwangu mda wote.Nimegundua ndoa nyingi hazidumu kwa sababu wanawake wengi wameingia kwenye ndoa na wanaume waliokuwa tayari kuwaoa na sio wale wenye mapenzi ya dhati kwao.
Inatokea unampenda mwanaume ila hakuoi .anatokea mwingine anatangaza ndoa inabidi ukubali .muda nao haucheleweshi matokeo
Ndoa inakuwa ndoana maana hakuna feelings wala nidhamu
Ni ngumu mwanamke kusex na mtu asiempenda,ni ngumu kumuheshimu mwanaume usiempenda .
Mbaya zaidi itokee huyo mwanaume alipendewa fedha na fedha imeisha ,basi hyo ndoa ni inakuwa jehanum kabisa
Jambo jema..mwanamke akiolewa achana naye..Upo sahihi 100% mfano hai mimi kuna mrembo mmoja nilikua nae kwenye mahusiano na tunapendana haswaa, sasa mimi mipango yangu sio kuoa kwa sasa na mdogo wake mwaka jana aliolewa, wazazi wake na ndugu wamemforce san aolewe kila siku ananiomba ata mahari tuchangie ila ratiba zangu haziruhusu kuoa sasa kuna jamaa kaenda kutoa posa na bint kakubali kutokana na hali ya wazazi kumlazimisha ila pale kwa kweli sioni ndoa maana bint kila siku ananitafuta na anasema ata akiolewa atanizalia imebidi nimpige stop kunitafuta acocentrate na ndoa yake tarajiwa ila bado akili yake ipo kwangu mda wote.
Asante mkuuPole sana kwa kuachwa, ila ipo siku utampata akupendaye na atakuoa mfurahie marriage life.