Wanawake tunaolewa na walio tayari kwa ndoa

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Nimegundua ndoa nyingi hazidumu kwa sababu wanawake wengi wameingia kwenye ndoa na wanaume waliokuwa tayari kuwaoa na sio wale wenye mapenzi ya dhati kwao.

Inatokea unampenda mwanaume ila hakuoi .anatokea mwingine anatangaza ndoa inabidi ukubali .muda nao haucheleweshi matokeo
Ndoa inakuwa ndoana maana hakuna feelings wala nidhamu.

Ni ngumu mwanamke kusex na mtu asiempenda,ni ngumu kumuheshimu mwanaume usiempenda.

Mbaya zaidi itokee huyo mwanaume alipendewa fedha na fedha imeisha ,basi hyo ndoa ni inakuwa jehanum kabisa
 
Nimegundua ndoa nyingi hazidumu kwa sababu wanawake wengi wameingia kwenye ndoa na wanaume waliokuwa tayari kuwaoa na sio wale wenye mapenzi ya dhati kwao.
Inatokea unampenda mwanaume ila hakuoi .anatokea mwingine anatangaza ndoa inabidi ukubali .muda nao haucheleweshi matokeo
Ndoa inakuwa ndoana maana hakuna feelings wala nidhamu
Ni ngumu mwanamke kusex na mtu asiempenda,ni ngumu kumuheshimu mwanaume usiempenda .

Mwanamke anapenda Ila suala la kutongoza lipo kwa mwanaume kiasili kwa hiyo mwanaume ndo anataka kitu atakacho na sio mwanamke
 
Moyo nao unazingua .unagoma kabisa kumpenda .sasa hapo ndo majanga
Ilaumu nature/asili ambayo imempa mwanaume uthubutu wa kutongoza na kuanzisha familia

Wanawake mnapenda Ila hamna uthubutu wa kumfuata mwanaume na kumtongoza na kuanzisha familia

Ukiwa mwanamke lazima ujiadae kisaikiojia kwamba Kuna uwezekano Mkubwa ukaolewa na mwanaume usiyempenda
 
Nimegundua ndoa nyingi hazidumu kwa sababu wanawake wengi wameingia kwenye ndoa na wanaume waliokuwa tayari kuwaoa na sio wale wenye mapenzi ya dhati kwao.
Inatokea unampenda mwanaume ila hakuoi .anatokea mwingine anatangaza ndoa inabidi ukubali .muda nao haucheleweshi matokeo
Ndoa inakuwa ndoana maana hakuna feelings wala nidhamu
Ni ngumu mwanamke kusex na mtu asiempenda,ni ngumu kumuheshimu mwanaume usiempenda .
Mbaya zaidi itokee huyo mwanaume alipendewa fedha na fedha imeisha ,basi hyo ndoa ni inakuwa jehanum kabisa
Pole sana kwa kuachwa, ila ipo siku utampata akupendaye na atakuoa mfurahie marriage life.
 
Nimegundua ndoa nyingi hazidumu kwa sababu wanawake wengi wameingia kwenye ndoa na wanaume waliokuwa tayari kuwaoa na sio wale wenye mapenzi ya dhati kwao.
Inatokea unampenda mwanaume ila hakuoi .anatokea mwingine anatangaza ndoa inabidi ukubali .muda nao haucheleweshi matokeo
Ndoa inakuwa ndoana maana hakuna feelings wala nidhamu
Ni ngumu mwanamke kusex na mtu asiempenda,ni ngumu kumuheshimu mwanaume usiempenda .
Mbaya zaidi itokee huyo mwanaume alipendewa fedha na fedha imeisha ,basi hyo ndoa ni inakuwa jehanum kabisa
Upo sahihi 100% mfano hai mimi kuna mrembo mmoja nilikua nae kwenye mahusiano na tunapendana haswaa, sasa mimi mipango yangu sio kuoa kwa sasa na mdogo wake mwaka jana aliolewa, wazazi wake na ndugu wamemforce san aolewe kila siku ananiomba ata mahari tuchangie ila ratiba zangu haziruhusu kuoa sasa kuna jamaa kaenda kutoa posa na bint kakubali kutokana na hali ya wazazi kumlazimisha ila pale kwa kweli sioni ndoa maana bint kila siku ananitafuta na anasema ata akiolewa atanizalia imebidi nimpige stop kunitafuta acocentrate na ndoa yake tarajiwa ila bado akili yake ipo kwangu mda wote.
 
Jambo jema..mwanamke akiolewa achana naye..

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Nisikilize madam !!Maisha unatakiwa kuwa na mpenzi mshkaji halafu mnapendana hatar hii itasaidia kutobagua dini wala kabila yaani una mshkaji mnapendana hata kuzaa mnazaa ila mnaweza msifunge ndoa hata miaka 10 mkawa mnaishi hata kama mna dini tofauti tatizo lenu wasichana watu mlikuwa nao kweny umri sawa yaani age mates mnawaona labda watoto mnaangukiwa kwa mizee mwisho wa siku kama unaishi na baba ako.
 
Back
Top Bottom