Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

Msioe mkategemea msaada kutoka kwa wanawake, oeni na mjue mwanaume ni kichwa cha familia, ikitokea mwanamke atakusaidia ni Sawa ila isiwe sheria eti lazima akusaidie.... Mtawaona watu wabaya kila siku
Ndo hapa wanakosea.
Wanachukulia km ule msaada ni jukumu la mwanamke..kumbe Ni huruma tu wala sio lazima
 
Huu nao ni mrejesho kwa tuliooa wasomi...
Nashukuru Mungu kwa huyu la saba wangu.
Kwenye ndoa siku hizi kila mtu anaingia na malengo yake kuweni makini,Harusi ni kutafuta Tension ya watu tuuu
 
Wanaelewa sana tuu mate!
 
Sio kwamba hatuelewi ni ubinafsi tuu umetujaa...

Kwani sie huwa tunakwama mara ngapi? Na tunawalilia hao hao wenzetu?! Wao ni nani wasikwame jamani!!

Mazingira ya kusaidiana na bebi wangu tumeyaanza toka zamani saaana nasoma!! Kuna wakati anakwama kabisa naona huyu anahitaji walau 20 akae mahali na wanaume wenzake, wala sisubiri aniombe nampa tuu!!
 
Unabarikiwe Linguistic kwa Comments zako zisizo na unafiki.
Humu watu wana gender bias ili mradi ametetea tu...

Kuheshimiana kwenye ndoa ni muhimu, kusaidiana ni muhimu sana kwa maendeleo ya familia. Mme akikosa uaminifu, mke anapata kigugumizi kuchangia matumizi . lakini kwa hali halisi iliyopo siku hizi wanawake wanachangia sana tu matumizi ya ndani km chakula, nguo, maji, umeme, mshahara wa hg. matibabu ya kawaida n.k.

Mume anajifanya hela yake ni ya mambo makubwa kiasi kwamba mchango wa mke auhesabiki kwa kuwa chakula kinaliwa watu wanaenda chooni mchezo umekwisha.

Wanandoa tuishi kwa upendo, uaminifu na kuheshimiana na sio mume kujiona ni mtu na nusu halafu mkewe anamuona a less human wakati huohuo wanawake wa pembeni anawaona wa maana...
 
hao watoto ni wa mme peke yake? watoto si wake? hao watoto wakikua wanakuwa faraja ya nani?
 
Msioe mkategemea msaada kutoka kwa wanawake, oeni na mjue mwanaume ni kichwa cha familia, ikitokea mwanamke atakusaidia ni Sawa ila isiwe sheria eti lazima akusaidie.... Mtawaona watu wabaya kila siku
[emoji3]
 
Nataka oa mke kama wewe [emoji85]

Sio hawa wakina naniliu [emoji23][emoji23]

Vp huna dogo nije ni[emoji183]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…