Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ndo hapa wanakosea.Msioe mkategemea msaada kutoka kwa wanawake, oeni na mjue mwanaume ni kichwa cha familia, ikitokea mwanamke atakusaidia ni Sawa ila isiwe sheria eti lazima akusaidie.... Mtawaona watu wabaya kila siku
Wanachukulia km ule msaada ni jukumu la mwanamke..kumbe Ni huruma tu wala sio lazima