Niwe muwaz tu japo mimi ni ke,, ikiwa mwanamke anafanya kazi na hela yake haiwez kusaidia chochot n bora aache kazi nijue kimoja tu kwamba n house wife,siez kuvumilia kula chakula cha house girl na watoto wangu wanalelewa na house girls wakat unafanya kazi isokuw na faida kwangu
Ok conclusion n kwamba sisi binadam ndo tunalea matatizo kila mtu akisimama kwenye nafas yake haya hayawez kuwepo,tujitahd kudeal na future kuliko kupelekwa na mihemko
Note,s jukumu la mwanamke kutunza familia lakn kama anakipato n lazima hela iwe kwenye mipango sio umeme ukate et lazma mme aweke asee wanaume tumien akil