Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

ni kwamba mwamba kapata mshahara
1)kalipia pango
2) kainvest kwenye biznes
3) anakatwa kulipia mkopo bank

uwajibikaji upi ambao wewe unautaka??
Wa ligi hao.... Wanawezwa na shetani peke yake... Sisi hatutakuja kuwaelewa maana walipoumbwa tulikuwa tumelala.....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana unauliza kisheria au kimahaba
Mimi namuuliza tena wala sijivungi kwani ajui hela zangu nimezifanyia nn. Nikijivunga watoto siwatakufa njaa. Huyo mwanamke hafai. Ndio fikiria jamaa anapitia kipindi champito2 anamfanyia hivyo je laiti kama jamaa angekuwa kafukuzwa kazi?
 
Hataki tusaidiane, aache kazi alee watoto. It's very simple, huwezi kuamka 0500hrs kila siku, tunakula chakula cha dada, watoto wanapelekwa na dada, wanajifunza tabia za dada, wewe unarudi 2000hrs then ulete story za kipumbavu.

Be "a stay home wife", ili ulete watoto kama " nature" inavyosema. Otherwise if you go out there, I should see the fruits of your labor.
Halafu wanasahau kuwa muda anaoutumia kusaka hela, NI muda wa kuhudumia ndoa Kwa usafi, chakula n.k.... YAANI ATUMIE MUDA WA NDOA, LAKINI ANACHOKIPATA KISIWE CHA NDOA...!!!!

Hivi wanaotumiaga muda wa mwajili Kwa ishu zao binafsi, wakifumwa huwa wanafanywa nini?
 
Ila huyo kaka ana moyo nae kumuuliza mwanamke "Mbona umetuacha bila kitu ndani?

Kaka zangu tafuteni hela tafuteni hela mbebe majukumu yenu wenyewe
Kwani ile 50/50 inaishia wapi!?
 
Mpo wachache, wengine wananilaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapa watu wanaongea tu, kwanza hiyo ndoa hadi hapo ina dosari.
Hawezi jamaa kuanza kumweleza haya mambo huyu mleta uzi, vinginevyo wana mahusiano na ikishafika hapo ukute jamaa amedanganya asipigwe mizinga na kutafuta huruma.

Pili, endapo ndoa yao iko vizuri, wangeelewana kuhusu mipango yao na matumizi yatakavyoenda. Ukute hamshirikishi mke wake na anataka mke atoe pesa zake, mambo hayaendi hivyo.

Jukumu la kuhakikisha familia iko sawa linabaki kwa mwanaume.
 
Hataki tusaidiane, aache kazi alee watoto. It's very simple, huwezi kuamka 0500hrs kila siku, tunakula chakula cha dada, watoto wanapelekwa na dada, wanajifunza tabia za dada, wewe unarudi 2000hrs then ulete story za kipumbavu.

Be "a stay home wife", ili ulete watoto kama " nature" inavyosema. Otherwise if you go out there, I should see the fruits of your labor.
Hallelujah
 
ni kwamba mwamba kapata mshahara
1)kalipia pango
2) kainvest kwenye biznes
3) anakatwa kulipia mkopo bank

uwajibikaji upi ambao wewe unautaka??
Mkuu nilisoma nikaelewa niliamua nikuzingue tu.

Kumsaidia mwanaume si vibaya ingawa hapa inategemea na ndoa yenu ilivyo.

Kikubwa nilichoshangaa ni kauli ya mwanaume kuwa "mbona umetuacha bila kitu ndani" ni bora angekaa kimya.

Kauli yake ni kama kakata tamaa anasubiri kulelewa, kuletewa yaani utafikiri huyo mke ni mzazi wake sio kauli ya kiume.
 
Hapa watu wanaongea tu, kwanza hiyo ndoa hadi hapo ina dosari.
Hawezi jamaa kuanza kumweleza haya mambo huyi mleta uzi, vinginevyo wana mahusiano na ikishafika hapo ukute jamaa amedanganya asipigwe mizinga na kutafuta huruma.

Pili, endapo ndoa yao iko vizuri, wangeelewana kuhusu mipango yao na matumizi yatakavyoenda. Ukute hamshirikishi mke wake na anataka mke atoe pesa zake, mambo hayaendi hivyo.

Jukumu la kuhakikisha familia iko sawa linabaki kwa mwanaume.
Kabisa Mkuu, hakuna mwanamke atakaependa watoto wake wakae njaa halafu yeye ana hela.
 
Hapa watu wanaongea tu, kwanza hiyo ndoa hadi hapo ina dosari.
Hawezi jamaa kuanza kumweleza haya mambo huyi mleta uzi, vinginevyo wana mahusiano na ikishafika hapo ukute jamaa amedanganya asipigwe mizinga na kutafuta huruma.

Pili, endapo ndoa yao iko vizuri, wangeelewana kuhusu mipango yao na matumizi yatakavyoenda. Ukute hamshirikishi mke wake na anataka mke atoe pesa zake, mambo hayaendi hivyo.

Jukumu la kuhakikisha familia iko sawa linabaki kwa mwanaume.
Jaribu kujibu Kwa mujibu wa uzi ulivyo...
 
Back
Top Bottom