Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

Ni liability kwako sio kwa kila mtu.
Wewe kama unaona Ni liability wenzio wengine wanaona Ni asset.

Ulitaka tuwe wajinga tusisome???

Kwakuwa binadamu hatuko homogeneous nakubaliana nahiki unachokisema.

Simaanishi wanawake wasiende shule bandiko langu limelenga kutoa tahadhari tu. Kama tunavyoambiwaga kwenye matangazo ya sigara “onyo uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako” halafu wakati huo huo zao la tumbaku linalotumika kutengeneza hizo sigara ni moja wapo ya mazao makubwa ya kibiashara hapa nchini.
 
wanawake asilimia kubwa ni selfish sanaa aseee......always chao ni chao. ila mungu atalipiaa
 
Ila huyo kaka ana moyo nae kumuuliza mwanamke "Mbona umetuacha bila kitu ndani?

Kaka zangu tafuteni hela tafuteni hela mbebe majukumu yenu wenyewe
hivi oprah winfrey ameolewa? nataka kuwahi siti maana hawa maskini wenzangu watanipa presha bure
 
Hapa watu wanaongea tu, kwanza hiyo ndoa hadi hapo ina dosari.
Hawezi jamaa kuanza kumweleza haya mambo huyu mleta uzi, vinginevyo wana mahusiano na ikishafika hapo ukute jamaa amedanganya asipigwe mizinga na kutafuta huruma.

Pili, endapo ndoa yao iko vizuri, wangeelewana kuhusu mipango yao na matumizi yatakavyoenda. Ukute hamshirikishi mke wake na anataka mke atoe pesa zake, mambo hayaendi hivyo.

Jukumu la kuhakikisha familia iko sawa linabaki kwa mwanaume.
Ahsantee
 
Kwajinsi ulivyo elezea, nimejikuta mawazo yangu yanaamini kwamba wewe ni mchepuko wa huyo unae muita kwa jina la kaka mmoja....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kupatwa kwa bwana shemeji🤣🤣🤣🤣
moto anauona aiseee kihivi hahahaha, Walai vile mimi ngoja tu nisioe maana nahisi nitawanunulia magunia zaidi ya 10 sitaki upuuzi aisee
 
Kwakuwa binadamu hatuko homogeneous nakubaliana nahiki unachokisema.

Simaanishi wanawake wasiende shule bandiko langu limelenga kutoa tahadhari tu. Kama tunavyoambiwaga kwenye matangazo ya sigara “onyo uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako” halafu wakati huo huo zao la tumbaku linalotumika kutengeneza hizo sigara ni moja wapo ya mazao makubwa ya kibiashara hapa nchini.
Liko wazi kabisa..unataka waliosoma wasiolewe.
Wewe km utaoa darasa la 7 au chekechea Ni wewe.
Waache wanaotaka kuoa wasomi waoe..usianze kurelate na sigara sijui afya Mara bangi..mbona unazunguka Sana!?
 
Mawifi wanajuana madhaifu yao, ngoja nipate elimu hapa!
 
moto anauona aiseee kihivi hahahaha, Walai vile mimi ngoja tu nisioe maana nahisi nitawanunulia magunia zaidi ya 10 sitaki upuuzi aisee
Ukishajiona hautoshi kwenye nafasi ya kuwa mume, nakushauri usioe tu. Ni vyema umejitambua mapema.
 
Back
Top Bottom