Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Ni liability kwako sio kwa kila mtu.
Wewe kama unaona Ni liability wenzio wengine wanaona Ni asset.
Ulitaka tuwe wajinga tusisome???
Kwakuwa binadamu hatuko homogeneous nakubaliana nahiki unachokisema.
Simaanishi wanawake wasiende shule bandiko langu limelenga kutoa tahadhari tu. Kama tunavyoambiwaga kwenye matangazo ya sigara “onyo uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako” halafu wakati huo huo zao la tumbaku linalotumika kutengeneza hizo sigara ni moja wapo ya mazao makubwa ya kibiashara hapa nchini.