Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

Nimecheka kwa sauti..... KUOWA ni choice, ONLY KWA UMRI FULANI.... uwe na 50 year bado useme ni choice...!!! TUSISAHAU KUNA CHOICE MBOVU NA MBAYA REGARDLESS OF THE AGE
 
Wadanganye tu wenzio.
Atoto, inaonyesha mumeo hata akifa bado utataka atoe hela ya matumizi yako. MNADHANI WANAUME HATUISHIWAGI? MBAYA ZAIDI MNAJUWA HELA ZILIVYOPATIKANA NA MATUMIZI YAKE
 
Msioe mkategemea msaada kutoka kwa wanawake, oeni na mjue mwanaume ni kichwa cha familia, ikitokea mwanamke atakusaidia ni Sawa ila isiwe sheria eti lazima akusaidie.... Mtawaona watu wabaya kila siku
Kwenye Stori ya mtoa mada umeona NI sawa mwanamke kufanya aliyoyafanya? Ukumbuke tunachangia as per thread
 
Kucheka kwa sauti kunaonyesha umbumbu wako. Kuoa sio achievement.

Kuna watu kibao duniani wapo respected na hawajaoa.

Usijihisi special kwa kuoa. Anyway, naona tunahama nje ya topic.

Nimecheka kwa sauti..... KUOWA ni choice, ONLY KWA UMRI FULANI.... uwe na 50 year bado useme ni choice...!!! TUSISAHAU KUNA CHOICE MBOVU NA MBAYA REGARDLESS OF THE AGE
 
ndivyo wanawake walivyo.......mpaka wana watoto 3, hakujua tabia za mkewe......mwambie ajiunge JF atajifunza kitu.
 
Hivi inawezekana kumuambia mchepuko ishu kali na za ndani kama hizi???unao uzoefu kidogo?? just share please....
 
Mi cha house girl sili hata kama uko busy kama moyo.nilishaachaga miaka mingi.ila pia kama unafanya kazi nitaelewa na sitakusumbua.Nitakuhudumu majukumu yangu yote KWA MUJIBU WA KIPATO/UWEZO WANGU. una ndoto zako pia.pursue them.kama unaiona thamani ya familia u will hustle to keep them both:family na kazi yako.u can help ukitaka.
Sasa ni wewe kujiongeza,ukitaka kuwa mke,rafiki,mwenza wa maisha na msaada karibu.ukitaka kuwa KITU KINGINE pia karibu.uwe tu tayari kwa matokeo yoyote sababu wengine pamoja na uvumilivu wao mwingi kama mazoba wakishafanya maamuzi hayanaga reverse
 
Mwanaume hakutakiwa kuuliza "unatuachaje" huu ni udhaifu kwa kichwa cha familia.... Ila mwanamke nae lol ana roho ngumu kwelikweli alitakiwa awahurumie tu watoto wake hakuna namna......
Mimi namuuliza tena wala sijivungi kwani ajui hela zangu nimezifanyia nn. Nikijivunga watoto siwatakufa njaa. Huyo mwanamke hafai. Ndio fikiria jamaa anapitia kipindi champito2 anamfanyia hivyo je laiti kama jamaa angekuwa kafukuzwa kazi?
 
Hataki tusaidiane, aache kazi alee watoto. It's very simple, huwezi kuamka 0500hrs kila siku, tunakula chakula cha dada, watoto wanapelekwa na dada, wanajifunza tabia za dada, wewe unarudi 2000hrs then ulete story za kipumbavu.

Be "a stay home wife", ili ulete watoto kama " nature" inavyosema. Otherwise if you go out there, I should see the fruits of your labor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…