[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]@atoto anakuzingua achana naye, juzi tu hapa katoka kumpa mchumba 500k bila kuombwa[emoji23]
Kumbe umeshamuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Apambane na Hali yake..yeye hataki wenzie wanataka wasomi.
Dunia imebadilika.
Mwanaume inatakiwa aishi na mwanamke kwa akili. Hivyo ni vyema mwanaume ajipime kiwango chake cha akili ili awe na mke wanaetoshana. Yeye ashagundua la3 C ndio wanatoshana, basi asijumuishe wanaume wote kwenye kikapu kimoja.Kumbe umeshamuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Apambane na Hali yake..yeye hataki wenzie wanataka wasomi.
Dunia imebadilika.
Kukwama kwa mwanamke ndio matumizi sahihi ya uanamke huo ili mwanaume amkwamue.Aiseee
Na kukwama kwa mwanamke ni matumizi mabaya ya nini eti....
Tuache ubinafsi auntie!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]@atoto anakuzingua achana naye, juzi tu hapa katoka kumpa mchumba 500k bila kuombwa[emoji23]
Kwaiyo mkuu unachoona wewe malezi mabaya kwa watoto yamechangiwa na ke kuwa wasomi!?
Unachokisema kipo ila si kwa watu wote samaki mmoja akioza haimaanishi wote wameoza unaweza pata ambae hajaenda shule na akakuvuruga pia na wapo wengi tu lkn pia haimaanishi wote ambao hawajandashule wako hivyo
Wanawake wasomi wana matatizo sana uelewei nini hapo?
wapi nasema msisome?
stop making these half-quoting and wrongly skewed deductions from my post.
please read to understand and not to reply.
Hakuna mahali nilipomaanisha malezi mabaya ya watoto ni sababu ya “KE kuwa wasomi”, acha kufanya hizi weird interpretations!
“Pamoja na wanawake wengi wa siku hizi kuwa wasomi lakini hawajui kulea, watoto wao ni watoto wa ovyo sana”
Sana nilichokimaanisha hapa ni kwamba mmesoma lakini hiyo elimu yenu kwenye social life hasa malezi kwa watoto haijawasaidia chochote. Na Sijamaanisha kuwa elimu imekuja kuwapumbaza, usiponielewa na hapa basi wewe una kichwa kigumu.
Yeah.. ni kweli samaki mmoja akioza si wote! lakini hii methali inapwaya kwenye hichi tunachokiongelea hapa!
Asilimia kubwa ya wanawake wanaosumbua kwenye ndoa zao ni wasomi.
Kufuatia ukweli wa hii kauli tunaweza kusema mtu ana uhakika zaidi wa kuwa na ndoa yenye amani akioa mwanamke asiyekuwa msomi kuliko pale anapooa mke msomi.
Wala hata haitaji deep research kutambua hilo, mifano ipo mingi sana kwanzia JF mpaka RITA. Au unataka nikuwekee na data kabisa hapa kwamba ndoa zilizovunjika za wasomi ni kadhaa na za wasiokuwa wasomi ni kadhaa?Umekaa ukafwatilia matatizo ya ndoa za wasomi,hizi nyingine umeangalia?
Je ,wasomi wanaoishi vizuri hujawaona.
Endelea kuwaza hivyohivyo.
Kumbe unajua shule Ni muhimu halafu unawaambia wenzio wanawake waliosoma Ni Kama sigara ni hatari kwa afya..halafu unasema hatujakuelewa.
Acha unafiki mkuu.
Wewe usipotaka kuoa msomi,nenda kaoe wa chekechea...hayo Ni maamuz yako.
Ila acha kuootosha wenzio kuwashauri mawazo na kuwapa sababu zisizo na maana.
Unadhani kuishia darasa la 1 ndio uke wema??au kufika chuo ndio kuwa mke mwema?
Endelea kuchanganya elimu na ndoa...siku ya kuoa we beba tu mjinga yeyote.,kwa kigezo Cha ujinga wake wa kuto kusoma.
Siku akikunyosha utajua kuwa elimu haihusiani na ndoa ama tabia ya mtu
Rudi kwenye post yako afu soma tena usinifanye me kiazi unasema kabisa wazazi wa zamani ambao hawakwenda shule ndowaliwalea vizuri ila wa sasa hamna kitu afu nikikuuliza ulichosema unaleta kingereza kingi...shame on u
Research yako umeiconclude kwenye familia ngapi tuanzie hapo
Wazazi wa zamani walikuwa ni walezi wazuri kuliko nyie ndio.. kwani hilo lina ubishi?
Vitoto vyenu vya siku hizi hamvipi malezi ya ovyo mpaka vinakuwa vijinga kupitiliza?
Hamvilei kama mayai hata kuvichapa mnaogopa eti sababu mnavipenda sana matokeo yake vinaota kiburi?
Haviwatii aibu mkienda kwenye mikusanyiko ya watu kutokana na nidhamu mbovu vilionayo? kitoto unakikataza kitu lakini hakiskii?
Kwanza nyie mnalea au mnalelewa na mabeki tatu..? huku mkitoa maagizo tu.
mmesoma lakini education has brought almost zero change to you haijawapumbaza ila mmeshindwa kuitumia... au na hapa utashindwa kuelewa?
Sasa hata nikukwambia nimetembelea wilaya kadhaa hapa nchini na kuzichukua kama sample space ndio nikaja na hiyo conclusion utaamini vipi?
Labda tuanze hapa JF kwanza tuone ni nyuzi ngapi za wanaume wanaokuja kulia lia sababu ikiwa ni wake zao ambao ni wasomi na wenye kazi zao.
No bana sio kisheria ila kimahaba teleee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana unauliza kisheria au kimahaba