Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

Ila huyo kaka ana moyo nae kumuuliza mwanamke "Mbona umetuacha bila kitu ndani?

Kaka zangu tafuteni hela tafuteni hela mbebe majukumu yenu wenyewe
Maana nyie ndo kiumbe pekee mliyepiga story na shettani
 

Halafu tukisema humu mwanamke aliyesoma ni LIABILITY kwenye ndoa tunaonekana wapuuzi, mara ohoo.. hatujiamini..blah blah blah!

Labda tuwekane sawa kwenye kitu kimoja na wote mnaojiandaa kuoa wanawake wasomi/wenye kazi muipate hii.

-Kadri mwanamke anavyozidi kusoma umuhimu wake kwa mwanaume unapungua. Na hata akiangia kwenye ndoa ni kwa ajili ya kupandisha social status tu.

-Mwanamke aliyeelimika hasa aliyefika ngazi za juu ana ndoto binafsi nyingi sana za kutimiza na huwa hazifi hivi hivi tu. Anaweza akazitelekeza kwa muda lakini siku akipata fursa ya kuzitimiza ndoto zake lazima aitumie fursa hiyo hata kama tayari yumo ndoani na hajari kama itaathiri ndoa.

-Mwanamke hata awe na uchumi mkubwa kiasi gani lakini ile natural instinct ya utegemezi haiwezi kumtoka, sana sana akijitahidi atakupunguzia mzigo tu kama mmezaa nae yeye atajigharamia mwenyewe huku watoto akikuachia wewe.

-Kadri mwanamke anavyozidi kuishi na wewe kwenye ndoa ndivyo anavyozidi kukuchoka hasa kama anajiweza kiuchumi na haoni hatari kuvunja ndoa maana hana cha kupoteza.

Kiufupi tu ni kwamba wanawake wasomi ni watu wenye matatizo mengi sana ndoani.

To a woman more education more problems in marriage-wise.
 
Mpi wachache wenye akili hii ya kujielewa, wengine ndo hivo tena akili kama za amber.......
 
Mkuu ambao hatujaoa unatuambia nn ss mabaharia
 
Sijaliona kosa la huyo dada labda kama mume wake hajawahi pita jamiiforums. Ila kama alishapita huku ama katika mtandao wowote wa kijamii asingeumia na jibu hilo. Maana yalishaongelewa sana humu na huwa wanasema changu changu chako changu hivyo tulishazoea
 

Your comment is full of lame assumptions.
 
Kumbe
 
Kuna kitu cha ziada walichoongea Shetani na Mwanamke kule Eden zaidi ya Tunda.....Mpaka leo hii siri wanayo hao wawili na Mabaharia tumeshindwa Kuijua pamoja na Ubaharia wetu
 
[emoji23] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…