Leonardchama7
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,963
- 4,027
Kweli hilo nalo jambounakuta hiyoo sector yuko vizuri ila anaongea kama radio iliyowekwa betri mpya hamnaga mkamilifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli hilo nalo jambounakuta hiyoo sector yuko vizuri ila anaongea kama radio iliyowekwa betri mpya hamnaga mkamilifu.
Sawa mkuu ikitiki karibu kwenye shereheKila la kheri mkuu,
Alooh acha tu, hawa masela zake sheta ni nyoko.ree 🤣🤣🤣Tutafuteni pesa mabaharia la sivyo tuta-aibika sana na hawa rafiki zake shetani
Nb mwanamke ndo kiumbe pekee aliyeonana ana kwa ana na shetani na wakapiga story mwisho wa siku wakakubaliana kula tunda
So nikisema mwanamke ni rafiki yake shetani namaanisha hamuwezi kukubaliana kama hamn urafiki
Sasa kama jamaa anachepuka mimi nikioa kuna shida gani,kizuri kula na mwenzio mkuuWewe amka mtoa post ni mchepuko wa jamaa,
Naam ndio nakusubiri hivyo,maana umeugusa mtima wangu kwa uzi huuDah!
Hapo hamna mke, ipo siku ntakuja kueleweka tu 🤣🤣🤣 ni swala la muda. Sintoshangaa mke kama huyo akikunyanyasa kipindi huna kitu au umefulia. Ama akikufukuzia ndugu zako wasikanyage kwako kwa choyo chake na maneono ya shombo.Halafu MTU akibadirika makusudikale aje alaumiwe.... Unajuwa mwanamke anatakiwa awe hivyo alivyofanya huyo mdada kama tu hajui KIPATO na matumizi ya mumewe... We MTU unajuwa A to Z ya mapato na matumizi ya MUMEWE, and yet unaongea kama alivyoongea huyo mdada..!!!!
KUOWA VUVUZERA NI KIPAJI
Ila huyo kaka ana moyo nae kumuuliza mwanamke "Mbona umetuacha bila kitu ndani?
Kaka zangu tafuteni hela tafuteni hela mbebe majukumu yenu wenyewe
Tatizo la wanawake wengi wa kibongo ni roho za kimaskini. Ubinafsi, kiburi na tamaa zinawaponza, wanarudia makosa wanashindwa kujifunza, akili zao fupi kama maisha ya funza.Mwanamke umebahatika kupata mwanaume wako wa ndoa,mnaishi vizuri tu,lakini kwa nini sisi wanawake tunakuwa tunawategea wanaume na huku unajua fika hali ya mmeo? Na huku tuna ingiza vipato vyetu wenyewe
Kuna mkaka nimemuonea hadi huruma
Huyu kaka ni mfanyakazi wa serikali na mke wake pia
Siku za hivi karibuni amemaliza chuo,ila gharama za chuo alikuwa anajigharamikia kwa kiasi kikubwa na kulingana na maisha ya chuo na gharama ,aliweza kukopa kwenye Benki moja hivyo kwa wastani kwa makato ya mshahara wake ,mshahara ukawa mdogo sana,na ulivyotoka wa mwezi uliopita alilipa kodi ya nyumba na nyingine kwenye shughuli za kilimo,akawa hana kitu
Na bahati nzuri mke wake anajua hali yake ya uchumi na kila kitu
Sasa leo mke wake kasafiri kwenda nyumbani kwao,na kwa vile mke wake anajua hali ya mme wake,mwanaume akafikiri mwanamke angefanya shopping ya mahitaji ya ndani kabla hajaondoka ili watoto wao watatu na mmewe wasipate shida
Lakini mwanamke hakununua mahitaji ya ndani ameondoka kwenda kwao akisema wazazi wake wamemuita kwa dharura
Mwanaume alivyojaribu kumuuliza "Mbona umetuacha bila kitu ndani?
Majibu ya mwanamke" Hivi wewe si ndo mwanaume, yaani unadiriki kuniambia jambo kama hilo,kwani mimi ndo mwanaume wa familia,wewe fanya mpango mle na wanao lakini sio kuniambia mambo ya ajabu"
Loh! Kaka wa watu mpaka nimemhurumia,
Jamani na sisi wanawake tuwe na utu,familia ni ya wote, na kama mwanaume hali si nzuri,ajibika asilimia 100,lakini si kwa roho mbaya hiyo
Umeowa?Nimecheka kinoma aisee.
Baharia naye kayumba sana, halafu anasimulia kabisa kwa watu wengine.
Kiongozi, shida kubwa ni yale maigizo wakati wa kutafuta kuolewa...Huwa sijui mabaharia wanakwama wapi? Yani mtu ataacha mwanamke mwenye maadili na yupo real ila anadondokea kwa kiazi
Watakuja kusema unalilia kusaidiwa na mkeo 🤣🤣🤣 sijawahi ona watu wenye stupid thinking kama wa Tzed.Niwe muwaz tu japo mimi ni ke,, ikiwa mwanamke anafanya kazi na hela yake haiwez kusaidia chochot n bora aache kazi nijue kimoja tu kwamba n house wife,siez kuvumilia kula chakula cha house girl na watoto wangu wanalelewa na house girls wakat unafanya kazi isokuw na faida kwangu
Ok conclusion n kwamba sisi binadam ndo tunalea matatizo kila mtu akisimama kwenye nafas yake haya hayawez kuwepo,tujitahd kudeal na future kuliko kupelekwa na mihemko
Note,s jukumu la mwanamke kutunza familia lakn kama anakipato n lazima hela iwe kwenye mipango sio umeme ukate et lazma mme aweke asee wanaume tumien akil
hawezi kuwa kaoa huyoUmeowa?
Umeowa?
Na jamaa lilisugua kwelikweli
Kuona NI kuamini... Kuna maneno MTU akiyasema unajuwa tu hajaowaSijaoa mkuu. Lakini hata biblia imetushauri tuishi nao kwa akili. Mimi nina uhakika katika wanawake 100 ni watano tu ndio wangejibu tofauti na huyo mwanamke.
Kwakweli mimi binafsi siwezi kumwambia mke hivo eti "mbona umetuacha bila kitu ndani"....ntakufa nakiburi na njaa zangu kama yeye anaye ka jikoni hawezi kuona kama hamna chakula sina haja ya kuendelea nae kama mke,... how ever much I need her service, kwanini niishi namnyama ndani wakati options zipo nyingiIla huyo kaka ana moyo nae kumuuliza mwanamke "Mbona umetuacha bila kitu ndani?
Kaka zangu tafuteni hela tafuteni hela mbebe majukumu yenu wenyewe
Mimi hayo maigizo ndio nilishayatafutia suluhu kama baharia mstaafu. Mwanamke ambaye naona atanifaa naweka ndani anakula probation ya mwaka na nusu kimya kimya, amini kwamba malaya hawezi igiza ndani ya muda wote huo.Kiongozi, shida kubwa ni yale maigizo wakati wa kutafuta kuolewa...
Lakini vilevile wanawake wenye hela, shule au madaraka kuliko waume zao, BAADHI NI SHIDA SANA, HASA BAADA YA ULE MKUTANO WA BEIJING CHINA....
Mwanaume kuishi na mke asiye na kipato inawezekana, TENA KWA MAISHA YOTE... Lakini mwanaumke, mume aishie wakiwa kwenye NDOA, WIKI TU MAISHA HUWA MAGUMU SANA
Awadanganye ama ndio ukweli huo, lini mtajifunza kuwa mume nae ni binadamu na wala sio mashine ya kufytulia pesa tu 🤣🤣🤣??? Acheni ubinafsi!Wadanganye tu wenzio.
Sababu gani kama sio ubinafsi, naimani kwa wanawake wa kibongo na roho zao za choyo kwenye sample ya watu 100 hapo 80% wangetoa response ya aina ya mke wa huyo jamaa.Ukiona mwanamke anafanya ukatili kwa mwanaume kuna sababu sio bure..
Kuona NI kuamini... Kuna maneno MTU akiyasema unajuwa tu hajaowa