Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

Mimi hayo maigizo ndio nilishayatafutia suluhu kama baharia mstaafu. Mwanamke ambaye naona atanifaa naweka ndani anakula probation ya mwaka na nusu kimya kimya, amini kwamba malaya hawezi igiza ndani ya muda wote huo.

Utamsanukia tu na tabia zote mbovu utazijua, sasa mambo ya kuuziana mbuzi kwenye gunia ndio hayo unaoa wakala wa shetani kwenye ngozi ya kondoo.

Ila epuka sana mwanamke mbinafsi kichaa angu, katika tabia zote pamoja na uzuri gani au utamu kiasi gani alionao manz yako hakikisha hana tabia ya choyo mkuu, awe mzungu wa roho na understanding...utafurahia sana maisha baharia wangu.
Kuoa nikama bahati nasibu unaweza ukachagua watano ukakosa wote, mgine anachangua moja tu akapatia vzri, jambo la muhimu nikumhusisha Mola katika mchakato mzima wa kuoa....ukisema mambo ya probation jamii haitakuelawa kila mwaka unaleta baada ya mwaka mnaachana, kwasabb wengi ni ma 'bomb' mimi ninalo hapa moja duh naona gharama ya kilipasua nikubwa duh.
 
Kuoa nikama bahati nasibu unaweza ukachagua watano ukakosa wote, mgine anachangua moja tu akapatia vzri, jambo la muhimu nikumhusisha Mola katika mchakato mzima wa kuoa....ukisema mambo ya probation jamii haitakuelawa kila mwaka unaleta baada ya mwaka mnaachana, kwasabb wengi ni ma 'bomb' mimi ninalo hapa moja duh naona gharama ya kilipasua nikubwa duh.
Pole mkuu ila tu nasisitiza choose wisely, tazama mbali. Wengi huwa tunahadaika na sura nzuri na matako bila kujua kusudio la mungu kumneemesha mtoto wa kike na hivyo kuna mapungufu atakuwa nayo. Japo kila mtu ana preferences zake ila kwangu looks sio ishu sana bali characters.

You dont have to spend a year kumtambua mwanamke ambaye hakufai. Just a couple of months tu zinatosha.
 
Ukute huyo mwanamke amegundua kuwa mumewe anamchepuko, sasa katika hali hiyo mwanamke anachukulia kuwa jamaa anahela isipokuwa anamtegea mkewe matumizi ya familia.

Hakunaga mchepuko wa bure, ukiona mwanaume anamchepuko jua anamhonga pesa za familia.

Wapo kweli wanawake manunda wasiyo na huruma na utu kwa waume zao lakini pia wanawake wengine wanakuwa hivyo baada ya wanaume wao kukosa uaminifu kwenye ndoa
 
Kata nasema piga chini haraka akajifunze, mke anaendaje kwao bila ruhusa ya mume.warudishie wakamfunze, kama bado anapenda kukaa kwao fukuza jini hilo linakunyonya dam
 
Niwe muwaz tu japo mimi ni ke,, ikiwa mwanamke anafanya kazi na hela yake haiwez kusaidia chochot n bora aache kazi nijue kimoja tu kwamba n house wife,siez kuvumilia kula chakula cha house girl na watoto wangu wanalelewa na house girls wakat unafanya kazi isokuw na faida kwangu
Ok conclusion n kwamba sisi binadam ndo tunalea matatizo kila mtu akisimama kwenye nafas yake haya hayawez kuwepo,tujitahd kudeal na future kuliko kupelekwa na mihemko
Note,s jukumu la mwanamke kutunza familia lakn kama anakipato n lazima hela iwe kwenye mipango sio umeme ukate et lazma mme aweke asee wanaume tumien akil
Mkuu una mawazo Kama yangu na ndio maana Mimi nikaoa street based woman kwa sababu hyo.
Kama akihitaj kuwa bize nitamfungulia biashara aisimamie kwa ajili ya kuongeza kipato.
 
Sababu Ni kwamba muda mwingine wanaume huwa tunapotea wenyewe kwa kuchagua mwanamke kisa ana kazi au amesoma tukidhani kwamba ndio wife material na matokeo yake ndio Kama hayo yanayotokea.
Ni afadhali kuoa mwanamke asiyesoma au asiyeajiriwa siku ukimfungulia duka au mgahawa una uhakika watoto watakula na kupata nauli za shule hata Kama hauna kazi kuliko hao mashetani ambao hawana muda hata wa kupika nyumbani wakijifanya wako bize na kazi pamoja na safari feki za mara kwa mara.
Mwanamke akiwa nahela tena ndio kidume unakuwa kwenye position nzuri ya kumtambua.
 
Watakuja kusema unalilia kusaidiwa na mkeo 🤣🤣🤣 sijawahi ona watu wenye stupid thinking kama wa Tzed.

Family issues afanye baba pekeyake tu ilihali mama yupo na ni income earner pia. Thats selfishness in its highest degree, uache watoto na mume bila chakula kwa kejeli ya aina yake 🤣🤣🤣 mungu baba nisaidie!
Et jaman m hapo talaka inahusu,majukumu kusaidiana bhana kuna siku mwanaume anakosa sasa ikiwa kaoa kilaza kama hyo itakuwa na maana gani
 
Sijuii huwa tunakwama wapi jamani!

Mwanamke yupo kwenye ndoa na bado hajui jukumu la familia ni la baba na mama, yaani mke na mume!

Mipango inatakiwa iwepo kabla hata ya kuoana, sijui kama wanaume huwa wanaliwaza hili... Mwanaume Jaribu kukwama siku moja uone kama mpenzi wako ama mchumba wako atakusaidia au ndo atanunaa!!
Kuna wadada huwa wanadhani mwanaume Ana hela Muda wote,yaani hata ile huruma kumhurumia kidogo haipo..wadada sisi tuna roho ngumu jamani,Mwanaume nae Ni binadamu Kama sisi.
Tunapaswa kuwashika mkono hata Kama Ni kidogo.(ila hapa si kila mwanaume wa kufanyiwa hivyo.,wengine hii huruma hawastahili.)
Wanaume nao akili zao sijui zipo wapi,unakuta nae anatoa tu hovyo..watazidi kuwanyoosha
 
Watakuja kusema unalilia kusaidiwa na mkeo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijawahi ona watu wenye stupid thinking kama wa Tzed.

Family issues afanye baba pekeyake tu ilihali mama yupo na ni income earner pia. Thats selfishness in its highest degree, uache watoto na mume bila chakula kwa kejeli ya aina yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mungu baba nisaidie!
Wanaume wanaojielewa pekee ndio wanaopaswa kusaidiwa.
Mwingine unamuona kabisa mzembe.

Kipato Cha mwanamke kuamua kusaidia Ni huruma yake tu Wala sio jukumu lake
Ila mwanamke atasaidia only if ana huruma ya kufanya hivyo na mwanaume wake anaeleweka
 
Wanaume wanaojielewa pekee ndio wanaopaswa kusaidiwa.
Mwingine unamuona kabisa mzembe.

Kipato Cha mwanamke kuamua kusaidia Ni huruma yake tu Wala sio jukumu lake
Ila mwanamke atasaidia only if ana huruma ya kufanya hivyo na mwanaume wake anaeleweka
Yeah kama mume astahili basi huna budi kumkacha ila pia angalia na situation. Usiponunua chakula watoto wako watakula nini?

Japo mumeo anakuboa ila you have kids around.
 
Back
Top Bottom