Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

Kuoa nikama bahati nasibu unaweza ukachagua watano ukakosa wote, mgine anachangua moja tu akapatia vzri, jambo la muhimu nikumhusisha Mola katika mchakato mzima wa kuoa....ukisema mambo ya probation jamii haitakuelawa kila mwaka unaleta baada ya mwaka mnaachana, kwasabb wengi ni ma 'bomb' mimi ninalo hapa moja duh naona gharama ya kilipasua nikubwa duh.
 
Pole mkuu ila tu nasisitiza choose wisely, tazama mbali. Wengi huwa tunahadaika na sura nzuri na matako bila kujua kusudio la mungu kumneemesha mtoto wa kike na hivyo kuna mapungufu atakuwa nayo. Japo kila mtu ana preferences zake ila kwangu looks sio ishu sana bali characters.

You dont have to spend a year kumtambua mwanamke ambaye hakufai. Just a couple of months tu zinatosha.
 
Ukute huyo mwanamke amegundua kuwa mumewe anamchepuko, sasa katika hali hiyo mwanamke anachukulia kuwa jamaa anahela isipokuwa anamtegea mkewe matumizi ya familia.

Hakunaga mchepuko wa bure, ukiona mwanaume anamchepuko jua anamhonga pesa za familia.

Wapo kweli wanawake manunda wasiyo na huruma na utu kwa waume zao lakini pia wanawake wengine wanakuwa hivyo baada ya wanaume wao kukosa uaminifu kwenye ndoa
 
Kata nasema piga chini haraka akajifunze, mke anaendaje kwao bila ruhusa ya mume.warudishie wakamfunze, kama bado anapenda kukaa kwao fukuza jini hilo linakunyonya dam
 
Mkuu una mawazo Kama yangu na ndio maana Mimi nikaoa street based woman kwa sababu hyo.
Kama akihitaj kuwa bize nitamfungulia biashara aisimamie kwa ajili ya kuongeza kipato.
 
Mwanamke akiwa nahela tena ndio kidume unakuwa kwenye position nzuri ya kumtambua.
 
Et jaman m hapo talaka inahusu,majukumu kusaidiana bhana kuna siku mwanaume anakosa sasa ikiwa kaoa kilaza kama hyo itakuwa na maana gani
 
Kuna wadada huwa wanadhani mwanaume Ana hela Muda wote,yaani hata ile huruma kumhurumia kidogo haipo..wadada sisi tuna roho ngumu jamani,Mwanaume nae Ni binadamu Kama sisi.
Tunapaswa kuwashika mkono hata Kama Ni kidogo.(ila hapa si kila mwanaume wa kufanyiwa hivyo.,wengine hii huruma hawastahili.)
Wanaume nao akili zao sijui zipo wapi,unakuta nae anatoa tu hovyo..watazidi kuwanyoosha
 
Wanaume wanaojielewa pekee ndio wanaopaswa kusaidiwa.
Mwingine unamuona kabisa mzembe.

Kipato Cha mwanamke kuamua kusaidia Ni huruma yake tu Wala sio jukumu lake
Ila mwanamke atasaidia only if ana huruma ya kufanya hivyo na mwanaume wake anaeleweka
 
Wanaume wanaojielewa pekee ndio wanaopaswa kusaidiwa.
Mwingine unamuona kabisa mzembe.

Kipato Cha mwanamke kuamua kusaidia Ni huruma yake tu Wala sio jukumu lake
Ila mwanamke atasaidia only if ana huruma ya kufanya hivyo na mwanaume wake anaeleweka
Yeah kama mume astahili basi huna budi kumkacha ila pia angalia na situation. Usiponunua chakula watoto wako watakula nini?

Japo mumeo anakuboa ila you have kids around.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…