Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

Kijana bado anachuma majani na kutupa chini eti anafikilia nimpe mda anaogopa nitaumiza moyo wake๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Basi endelea kumsubiri mpaka amalize majani yote ila mimi sitakubali kuja kufanywa tairi la spea,ukichelewa kwa kumsubiri utakua umepishana na Gari la mshahara,bahati hua haiji mara mbili.

๐Ÿ˜€
 
Ila kama kuna kimfanano kwa mbaliiii๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Mfanano wa Genta na mimi ni kua,mtu akiingia anga zangu na kashfa au lugha chafu hua simuachi,nampokea kama alivyokuja,watu wa aina hiyo ukisema uwapotezee hua wanajiona wameshinda au wamepata mnyonge wao,sasa mimi hua napinga mbu kwa nyundo ili ajue kua amegongana na Treni la mizigo.

๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ