Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

Ukijiwekea stand . Haya ndo yatakuwa maisha yako hadi kuzeeka. . Life ni Kijenga pamoja unataka vitu vipo ready made . Hit 30s kuwa single mother zeeka

Walio single awana maisha hayo unataka . Weka stand uolewe mke wa 3 .
 
Kwhy sasa hivi una miaka 28. Tunaendana.

Sema....
 
Kama umebakiza hata chembe kidogo tu ya Imani, naomba uniamini naposema kuwa ukinipa nafasi nitakufanya uwe mwanamke mwenye furaha kuliko wanawake wote duniani.
Na wao walinambia hivyo mwanzo mwisho nikawafuma na baby mama zao 😬
 
Yule aliyekuambukiza gono mbona hujamtaja😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…