- Thread starter
- #61
Nimeshajiuliza nikasema labda Mungu kaniandikia haoJe umewahi kujiuliza kwanini unapata single Fathers tu ?.
Sikufuchi 98% napataga wenye watoto
Nimeshajiuliza nikasema labda Mungu kaniandikia haoJe umewahi kujiuliza kwanini unapata single Fathers tu ?.
Okay, hatakama hutanipa nafasi lakini naomba uamini kuwa I am nothing like them. Yani ni sawa unalinganisha kilimanyege na Everest, au Harmorapa na Chris brown au Bajaji na Bugatti.Ni kama wao tu
Mimi 26Mkuu ukitaka tukushauri vizuri
Tuambie umri wako kwanza
Ili tujue sababu hasa ni nn ya kupata single father
Ishia hapo mkuuOkay, hatakama hutanipa nafasi lakini naomba uamini kuwa I am nothing like them. Yani ni sawa unalinganisha kilimanyege na Everest, au Harmorapa na Chris brown au Bajaji na Bugatti.
When I love, I love.
And there's something about you that makes me feel like I want to share that love with you.
Unacheka nini wewe roboti🤣🤣🤣🤣🤣 noma sana
Usikaze fuvu mkuu mtu wake means mwanamke wakeSamahani dada naomba niulizepo kaswali, eti ukisema mtu wake unamaanisha nini? Tangia lini mwanaume nae akawa na mtu wake? nijuavyo mimi ni mwanamke ndio anakuwaga na mtu wake.
Kuamini namna kama hii yako huoni kwamba ndio jela yako dadayangu?
Au nasema uongo nduguzangu?
Hiyo kawaida jaribu kusoma Uzi wa davinc kuhusu subconscious mind .utaelewa why inatokea hiyo.Mimi 26
Na tangu Nina 21 nilianza kupata singofaza
Rudi kaburi namba 2 fanya ritual yoyote kufungua zile ahadi bado yupo na nafsi ake inalinda ahadi zenu. Ikiwezekana omba hata radhi kwa namna moja au nyingine pale hatma ilipoamua katikati ya safari yenu. Hatujui ni nini hujiri katika ulimwengu wa roho na hata huu wa macho tunaouona bado tunafichwa mengi hatuwezi kufikia. Ile siri ambayo hautamani yeyote AIFAHAMU nenda kamueleze namba mbili na kufika mwakani majira kama haya. Njoo utueleze hapa. Karma is real.Shida yangu nini sasa mkuu
Maana hao wote 3 ukimtoa no 2 hamna hata aliyewahi ku complain labda nina shida
Wengi huishia kusema nina deserve kupata mtu sahihi sasa mimi shida yangu ipo wapi
Ni tagg huo uzi mkuuHiyo kawaida jaribu kusoma Uzi wa davinc kuhusu subconscious mind .utaelewa why inatokea hiyo.
26 Ushachapika sana, mtu akishakulomba hayo tayar n maagano .kemea hyo roho26 mkuu
Thread 'Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?' Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?N
Ni tagg huo uzi mkuu
Hahah et rough rough ila mkuu kwani wewe unaweza date na mtu yuko roughUsikatae date na mkaka unaemuona rough rough mara nyingi wale hawana commitment,ila hayo mambo ya kuchagua wakaka smart wote ni majimbo ya watu hapo utatafuta migogoro tu
Bado mdogo mimi hata 26 sijatimizaa26 Ushachapika sana, mtu akishakulomba hayo tayar n maagano .kemea hyo roho
Kweli mkuu huyo no 2 alikuja kama hivyo usemavyo 🥹Wewe kaa tu utulie, mwanaume mzuri atakuja wakati ambao hata hukutarajia.
Hhahah... msukuma ndo ametisha sana hapo. By the way, utampata wako wa moyo one day. Mimi niko single kama uko interested niPMKwema humu
Jamani mimi kadogo2 sijui lini nitapata laazizi wa moyo wangu.. kila napogusa pamewahiwaa
Hii hali kwangu imekuwa ikiniumiza sana maana unajikuta unampenda mwanaume kumbe tayari ana wake ambae labda wanapendana ama anampenda na kuachana kwao inakuwa ngumu
Katika umri wangu huu nishapitia mahusiano seriously mara 4 tu Yaani ile mahusiano kweli sizungumzii haya ya Leo mmeongea keshoo kimya
1: Huyu nilianzisha nae mahusiano nikiwa bado chuo nakumbuka kilikuwa kipindi cha uchaguzi mkuu.. yalikuwa ni mahusiano ya long distance alikuwa amenizidi kama miaka 7 hivi kipindi hicho nafikiri alikuwa na 28 mimi nina 21
Ni mahusiano yaliyoenda poa sana nilimpenda Kijana lakini kumbe alikuwa akiishi na mwanamke huko Dar nilikuja kujua baadae sana yaliniumiza kiasi chake lakini kwa kuwa hatukuwa na connection yoyote ya sex niliweza kupona na kupata mahusiano mengine
2: Huyu nae nilikutana nae nikiwa mwaka wa mwisho chuo.. Aisee ni mwanaume ambae tulipendana sana na huyu pekee ndio niliweza kumchomoa kwa mwanamke aliekuwa nae kabla yangu tukafika mbali sana mpk kutoa mahari ila haikuwa bahati yangu Mungu akampenda zaidi
3:Huyu jamani sikutegemea hata kama ningempenda amefanya mpk nimempenda matokeo yake kumbe ana mtu wake seriously daah Roho imeniuma sanaa.. inaonekana wamefika hatua ya mbali sana na mtu wake hivyo hata mimi sitoweza kuwatenganisha sijui kama ameoa ama hajaoa ila najua tu ana mtu na wako hatua kubwa..Nisiwe mnafki huyu namuelewa sana kwasababu ameweza kunifanya nijihisi vizuri mno japo ndio hivyo ila Roho yaumiaaa 😧
4: Huyu ni kichefuchefu jmn Msukuma huyu ni anajisikia mno in short ana mwanamke wake mimi ndio wakuzugia sijui
Jamani hao wote ni single father 🥹🥹
Sasa mimi Hii hali inaniwazisha sana mtu anakwambia yuko single unakaa nae kwenye mahusiano halafu baadae unakuja kugundua yuko na mtu..
Jamani nipeni mbinu na mimi napataje wa kwangu mimi nishachokaa mahusiano ya hivi Leo yuko single kesho unasikia yuko na baby mama wake
Mimi nkiwa single ndo waga napendeza Sasa...si nakuwa nawawinda.Usikatae date na mkaka unaemuona rough rough mara nyingi wale hawana commitment,ila hayo mambo ya kuchagua wakaka smart wote ni majimbo ya watu hapo utatafuta migogoro tu
Kua mpole mapenzi hayana championKwema humu
Jamani mimi kadogo2 sijui lini nitapata laazizi wa moyo wangu.. kila napogusa pamewahiwaa
Hii hali kwangu imekuwa ikiniumiza sana maana unajikuta unampenda mwanaume kumbe tayari ana wake ambae labda wanapendana ama anampenda na kuachana kwao inakuwa ngumu
Katika umri wangu huu nishapitia mahusiano seriously mara 4 tu Yaani ile mahusiano kweli sizungumzii haya ya Leo mmeongea keshoo kimya
1: Huyu nilianzisha nae mahusiano nikiwa bado chuo nakumbuka kilikuwa kipindi cha uchaguzi mkuu.. yalikuwa ni mahusiano ya long distance alikuwa amenizidi kama miaka 7 hivi kipindi hicho nafikiri alikuwa na 28 mimi nina 21
Ni mahusiano yaliyoenda poa sana nilimpenda Kijana lakini kumbe alikuwa akiishi na mwanamke huko Dar nilikuja kujua baadae sana yaliniumiza kiasi chake lakini kwa kuwa hatukuwa na connection yoyote ya sex niliweza kupona na kupata mahusiano mengine
2: Huyu nae nilikutana nae nikiwa mwaka wa mwisho chuo.. Aisee ni mwanaume ambae tulipendana sana na huyu pekee ndio niliweza kumchomoa kwa mwanamke aliekuwa nae kabla yangu tukafika mbali sana mpk kutoa mahari ila haikuwa bahati yangu Mungu akampenda zaidi
3:Huyu jamani sikutegemea hata kama ningempenda amefanya mpk nimempenda matokeo yake kumbe ana mtu wake seriously daah Roho imeniuma sanaa.. inaonekana wamefika hatua ya mbali sana na mtu wake hivyo hata mimi sitoweza kuwatenganisha sijui kama ameoa ama hajaoa ila najua tu ana mtu na wako hatua kubwa..Nisiwe mnafki huyu namuelewa sana kwasababu ameweza kunifanya nijihisi vizuri mno japo ndio hivyo ila Roho yaumiaaa 😧
4: Huyu ni kichefuchefu jmn Msukuma huyu ni anajisikia mno in short ana mwanamke wake mimi ndio wakuzugia sijui
Jamani hao wote ni single father 🥹🥹
Sasa mimi Hii hali inaniwazisha sana mtu anakwambia yuko single unakaa nae kwenye mahusiano halafu baadae unakuja kugundua yuko na mtu..
Jamani nipeni mbinu na mimi napataje wa kwangu mimi nishachokaa mahusiano ya hivi Leo yuko single kesho unasikia yuko na baby mama wake
njoo nikustiri ila nna mtuBado mdogo mimi hata 26 sijatimizaa