Lech Poznan
JF-Expert Member
- Jul 3, 2025
- 783
- 1,211
Wanawake kwenye mahusiano huwa wana beti yani wanacheza kamari kuna kapata na kupatwa na wanawake wengi wanaliwa. Kwasababu wanaacha chaguo sahii kwa kuchagua shampoo lisilo sahii. Mwanamke ana tabia ya kuchagua chaguo la uongo na kuacha cha Guo la kweli Kwasababu wanafata hisia.Tulia usiwe na papara ya kupata mwanaume wala kuingia kwenye mahusiano atakuja wa kukupenda uwe njia kuu wengine wakuwe michepuko kama unavohangaika saivi